Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,161
- 3,054
Habari wanajamvi,
Kabla ya yote naomba nitoe pole kwa watanzania wote na hasa walioguswa moja kwa moja na msiba wa watoto, na wadogo zetu, uliotokea wakielekea karatu(R.I.P)
Baada ya pole naomba niulize maswali kadhaaa, Ila kabla ya swali naomba nieleze chanzo hadi hili swali likanijia kichwani.
Siku ya Leo mitandaoni kuanzia fb hadi watsapp, Dp za watu wengi na status zao zimesheheni mishumaa.na hata mimi nimeweka.
Suala likaja pale moja ya magropup niliyopo kuna jamaa akabadiili picha na kuweka mshumaaa baada ya kuweka hiyo picha kuna member akauliza,
" Hivi waliofariki kwenye ajali ni dini moja? Tukajibu hapana
kisha akasema dini yake yeye hairuhusu na yeye ni mwislamu.
Kabla ya hapo mimi nlijua mshumaa ni ishara ya maombolezo tu na sikuwahi kujiuliza ina maana gani, Leo nmetamani kujua mambo kadhaa.
1: Naomba kujua maana na tofauti unapowashwa sehemu zenye maombolezo, kanisani, na kwenye birthday party.
2: Kwanini mshumaa tu?
3: Nani alianzisha kama inawezekana nipate historia yake?
4 : Je ni wakristo tu ndo hutumia
mengine ntauliza kutokana na majibu?
NAtanguliza shukrani.