YouTube v/s Nigeria movie zinanifilisi .

YouTube v/s Nigeria movie zinanifilisi .

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Gharama ninayotumia you tube inaniyumbisha sasa kiuchumi! Picha za ki-Nigeria zimenikamata Mbaya! Kiasi kwamba nikipata dakika Kumi tu utanikuta youtube. Nisaidieni nitokeje kwenye ulevi huu wa nigeria!!!?. Sinema zina akili sana, waigizaji wanavaa uhusika halisi,
Maproduzer wamewajibika hawa!.
Niacheje tafadhali.
 
Rahisi tu kuacha.
Jiunge na bando la usiku la intaneti la kuanzia saa 6 mpaka saa 12 alfajiri, bando hili huwa linakuwa bei rahisi ya 1000/= au 1500/=, unapata GB nyingi zaidi ya 10GB. Usiku, download movies nyingi uwezavyo kwa quality ya 360p au 480p ili upate movies nyingi zaidi. Zitazame mchana hizo movies ulizozidownload, ukishazitazama movies mbili tatu, macho yatachoka na kichwa kitachoka, hata youtube utaichoka.
Fanya hivyo, ukisikia hamu ya kuangalia movie youtube, dawa yake ni 1000/= au 1500/= ya kifurushi cha saa 6 usiku.
 
Usiniambie kama nawe ni addicted wa #realnollytv, au #ibaka tv, walai zile filamu zao nilikua nashinda kutwa kuziangalia
 
Mi nnaziangalia kuliko,
Yaan nasikitika kukosa mud wakutosha,
Jamaa wako juu ,juu kileleni.
Raha ziko Nollywood aise.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom