Mambo kumi (10) usiyopaswa kufanya.

Mzikii

Member
Oct 14, 2016
15
18
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza,yafuatayo ni mambo kumi (10) ambayo kama binadamu haipendezi/haipaswi kuyafanya:-

1. Kuwambia watu matatizo yako: Acha hii haifai labda endapo tu mtu au watu utao waambia wanaweza kukusaidia moja kwa moja hilo tatizo lako, watu unao washirikisha matatizo yako wana ya kwao hayo yako hayaoni ndani mara milioni na zaidi.

2. Ngono zembe: Hii inaeleweka. Acha maramoja.

3. Kuangalia porn: Unaweza kuangalia mara moja moja,ila ukiona hizo video zimeanza kutawala kichwa chako, na ukiwa na bando tu huwezi kujizuia kuangalia, acha tena acha sasa.

4. Simamia/heshimu mipaka yako: Simamia mipaka au kanuni zako ulizojiwekea bila kujali kitu chochote, mfano umejiwekea kua hautavumilia usaliti iwe katika katika mapenzi au urafiki wa kawaida, utafanya kazi siku sita za wiki siku moja utapumzika n.k fanya ivo simamia kanuni zako kikamilifu.

5. Kuacha kazi ukiwa bado hauna uhakika wa kazi nyingine: Acha usifanye hii na pia unapoacha kazi usimdhihaki wala kumtukana bosi wako, fikiria ulimtukana bosi wako afu kumbe ni rafiki wa bosi wako mpya. Narudia tena acha usifanye hii kitu.

6. Kubishana: Kwanini ubishane? na je baada ya kubishana kuna faida gani utapata? unataka uibuke mshindi katika kubishana ili iweje?. Acha kupoteza nguvu na mda wako bure.

7. Video za kuhamasisha maendeleo:Video hizi huamsha hamasa ila mara nyingi huwa inakufa ndani ya mda mfupi, hamasa ya kweli inatoka ndani yako mwenyewe. Kwahiyo acha kuangalia video za aina hii haifai.

8. Kua na marafiki wasiofaa na wasiokuwa na faida yoyote kwako: Achana na marafiki wa aina hii sababu ni lazima watakurudisha nyuma na kukufanya uishi
maisha ya ajabu. Bora kua na marafiki wachache walio na faida kuliko kuwa na marafiki wengi wasiokua na faida wala mchango wowote katika maisha yako.

9.Kuwafurahisha wengine: Kwanini ufanye vitu kwa ajili ya kuwafurahisha wengine?,unajipinda mara nyingine mpaka unaharibu bajeti zako za msingi kwa ajili tu ya kuwafurahisha mdugu, jamaa na marafiki zako, acha hio ishi maisha yako fanya vitu kwa ajili ya kutafuta furaha yako mwenyewe.

10. Mitandao ya kijamii: Maisha ya kule mara nyingi hayana uhalisia, kule kila mtu ana maisha mazuri, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa inakufanya kuwa na huzuni na kwa kiasi fulani kidogo inakuunganisha na watu katika maana ambayo ni nzuri. ila pia kama unatumia kwa ajili ya masuala ya kibiashara ni vizuri. Usitumie mitandao ya kijamii kupitiliza hasa facebook na instagram.

Unaweza ukaongeza na za kwako, karibu;-

Source; Quora & my knowledge.
 
Hili la kwanza ni gumu sana kama umekumbwa na tatizo Kubwa mfano umefumaniwa au umepigwa busha kwa kutoka na mke wa MTU lazima utasema tu
 
Namba 02 ni kweli kabisa
Ni dhambi
 
Ukweli mtupu Mkuu..
Japo ukweli unauma...

Hiyo namba 5 nakuunga mkono mkuu,ni point ya muhimu Sana katika maisha inaweza kufanya ujutie Sana maisha ukiikosea
 
Kukaa kijiweni na kuanza kuilaumu serikali kuwa maisha magumu ACHA KABISA kafanye kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom