Serikali ya Mheshimiwa rais Magufuli ni ya viwanda. Vipi mtu atafungua kiwanda kama hana usajili wa kampuni kwa wakati? Usumbufu huu kwanini viongozi wanaunyamazia? Maendeleo yatapatikana vipi kama mwendo ndio huu? Wafanya kazi wa brela hawana hata aibu na uzalendo na nchi yao, hawana elimu, tamaa au hawajali?
Mimi binafsi ningependa kuona;
1. Wapuuzi wote wanaofanya urasimu wasafishwe.
2. Website yao na form zilizo online karibu zote ni upuuzi hivyo waajiliwe watu wenye exposure na online system ya namna hio.
3. Iwepo dead line kwa kila application. Leo Tanzania inachukua miezi kufungua kampuni au kufanya trade mark.ni vipi watu watafanya kazi?
4. System iweze kufanya approval bila mikono ya watu. (Nchi zingine wana fanya hivyo kupunguza rushwa na urasimu).
5. System zenye huduma za serikali zisihusishe na binaadam hawa kwenye ngazi ya nchini. Wabaki wachache wajuu tu ili waweze kushikwa pale wakikosea.
Unajaza maombi na baada ya siku yanarudishwa. Leo address imekosewa, Kesho jina, Kesho kutwa signature imekaa upande etc. Mwisho utaskia ombi lako liko kwa boss. Subiri miezi. Mheshimiwa raisi baba utapata viwanda vingapi kwa style hii? Kitu kidogo kina impact kubwa kwenye nchi na hakuna mtu anasema kitu.
Ningekua mwanasiasa, ningemuomba raisi position ya kusafisha uchafu unao husiana na urasimu kwenye mambo ya maendeleo na technology. Watu wamechoka.
Serikali mnaweza kuweka hotline au platform yakuwa report watu wanao hujumu nchi kwa njia za ajabu? Nini tufanye?