Wazoefu wa nchi ya Iceland

Wazoefu wa nchi ya Iceland

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Wakuu habari ninaomba kama wewe umefika nchi ya Iceland au unaishi huko naomba mwongozo maisha ya kule yakoje biashara,hali ya hewa nk ninampango wa kwenda kuishi huko pia na mchakato wa kupata visa maana hapa bongo hawana ubalozi natanguliza shukrani
 
Ww ndio ulitakiwa utuambie umeona nini huko. Why iceland not other kantre
Wakuu habari ninaomba kama wewe umefika nchi ya Iceland au unaishi huko naomba mwongozo maisha ya kule yakoje biashara,hali ya hewa nk ninampango wa kwenda kuishi huko pia na mchakato wa kupata visa maana hapa bongo hawana ubalozi natanguliza shukrani
 
Pia unaweza kupata taarifa zote hizo kutoka kwenye gugo
 
Wakuu habari ninaomba kama wewe umefika nchi ya Iceland au unaishi huko naomba mwongozo maisha ya kule yakoje biashara,hali ya hewa nk ninampango wa kwenda kuishi huko pia na mchakato wa kupata visa maana hapa bongo hawana ubalozi natanguliza shukrani
Iceland ni mmoja kati ya nchi zilizopo katika list ya schengen counties unawez kutumia baloz yoyote ambayo ipo hapa ukafika Iceland san san wanatumia ubaloz wa Sweden. Kwaku ongezea wasafiri wanasema ni nchi zuri idad ya watu ni wachache ukilinganisha na ardhi yao. SHIDA NI KUPATA VISA wengi wanataman kwenda huko shida ni VISA.
 
Thanks mkuu
 
Iceland moja kati ya nchi bora zaidi kwa binadamu kuishi
Kupata Passport yake tumia ubarozi wa Norway au Denmark

Kama hauna elimu jifunze angalau kupiga gita maana raia wake wanapenda saana kusikia midundo ya gita

Pia kama unakipaji cha kuandika vitabu ni fursa pia
 
Asante sana
 
Lugha wanayoongea inaitwa Icelandic inapishana kidogo sana na kirusi pia fursa nyingine unaweza kujichimbia vijijini then unaomba job za kuhudumia wanyama hasa huwaga ni kondoo

Kubwa zaidi ubaguzi kwa waafrica ni kama 0% Pia hakuna wakora na kulewa ni kosa

Mkuu shukrani sana tena sana kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom