Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Upadri au usista 2. Kuuza kahawa, ufuta, karanga, korosho, sukari guru etc 3. Ushehe Asanteni
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Serengeti. Mwalimu wa Shule ya Msingi Rung'abure Wilaya ya Serengeti mkoani Mara nchini Tanzania, Godfrey Tarimo (35) amenusurika kifo baada ya kujikata shingo kwa chupa, huku ikidaiwa ni...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Kwakweli tunayopitia sasa ni kama yale waliyopitia watu wa Misri kama maandiko ya Dini yanavyosema, yaani tumeandamwa na- Magonjwa hatari kama- 1. Dengue 2. Homa ya ini 3. HIV na Malaria 4...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi habari za mda. Niende moja kwa moja kwenye ombi kwenye ujenzi wa nyumba bora za kuishi kwa watu wa kipato cha chini na kati kuna changamoto ambazo humlazimisha mhusika kujenga...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mahakama imewahukumu kifungo cha miaka mitano gerezani watu wawili mkoani kagera kwa kumteka mwanafunzi wa darasa la awali mwenye umri wa miaka mitano Levis Respicius wakati akitoka shuleni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii tabia haipendezi hata kidogo ya Wakuu wa Mikoa wanapopewa nafasi ya kuhutubia ,wanahutubia kama wanasiasa ,talking to much, kama ukiongea kwa ufupi yale mazuri tu inatosha ,na mahitaji ya...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Katika nchi yetu tatizo la ukosefu wa ajira siyo kubwa kihivyoo. Ila tunalo tatizo moja kubwa, mno. Tunao wahitimu wengi WASIOAJIRIKA. Kutoajirika (unemployability) ni tatizo kubwa, mno. Waombaji...
0 Reactions
8 Replies
918 Views
KUNA GHARAMA HAPA?[emoji383] [emoji871][emoji637] *Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini?* [emoji871][emoji638] *Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya...
1 Reactions
5 Replies
937 Views
Wana JF naomba msaada. Napenda sana kuona masink ya bafuni nk yakiwa katika weupe wake kama awali. Tatizo ni kuwa najitahidi sana kununua vifaa vya kuondoa madoa,mfano Vim, harpic nk, na kila...
0 Reactions
32 Replies
30K Views
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Huwa mnanishangaza sana mnavosema sie waKenya hatukijui Kiswahi. Kati ya waTz niliokutana nao, kutofautisha dh na z ni shida. Kuzitofautisha l na r ni shida. Hivi ni lini mtajua kuwa ni dhana na...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi kama game zote tumepoteza , chereko hizi ni za nini ?
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Mayara, Alexander Mnyeti, ameonyesha kuridhishwa na kazi anazofanya Mkurugenzi mtendaji wa Halm ya Kiteto TAMIMU KAMBONA, kuhusu kusimamia na utekelezaji miradi ya ujenzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona ni wakati sasa wa telegram kuanza kupata wateja na kutengeneza pesa. BREAKING NEWS kwa watumiaji wa WhatsApp omba mtu akutumie picha kisha uone Kama itafunguka. Au..... Angalia status ya...
1 Reactions
72 Replies
10K Views
Hii nimeiona kwa baadhi ya coaster Mbeya na Morogoro. Coaster (nadhani zote) mpangilio wake wa siti ni kuwa na siti 3 kwenye raw moja, yaani mbili upande mmoja halafu njia ya kupita kati kati...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa waliosoma life skills kutembea haraka ni moja ya vigezo muhimu vya kustaarabika na uchapakazi .Tanzania utamaduni wa kutembea haraka haupo yaani watu wanatembea kama waliochoka ndo maana hata...
43 Reactions
151 Replies
12K Views
Habari wakuu Kwa wamiliki wa YouTube chanel ambazo hawazitumii au wanaziuza tafazari naomba niuuziwe mimi Ninaitaji YouTube channel ambayo inapitisha matangazo,, nitanunua kwa bei ya maelewano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanafalsafa wa Ugiriki aitwae Democritus aliwahi kusema kuwa "happiness of the man should not be upon the things of the world because the things and treasures of the world come and go, rather the...
1 Reactions
2 Replies
664 Views
Wakuu salaam, wataalamu wa mambo tunaomba mtudadavulie hili. Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN? Mfano; PAKISTAN AFGHASTAN UZBEKSTAN TARJKSTAN KARJKSTAN KRIJIKSTAN...
0 Reactions
88 Replies
11K Views
Faru dume aliyekuwa akisafirishwa kutoka hifadhi ya Port Lympne nchini Uingereza amefariki akiwa kwenye ndege wakati akisafirishwa kuja Tanzania Taasisi ya Aspinall inayosimamia hifadhi ya Port...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom