Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN?

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Wakuu salaam, wataalamu wa mambo tunaomba mtudadavulie hili.
Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN?

Mfano;

PAKISTAN
AFGHASTAN
UZBEKSTAN
TARJKSTAN
KARJKSTAN
KRIJIKSTAN
KAZACKSTAN

Na nyingine mpaka nimesahau, pia kuna majimbo mengine kama KURDSTAN na mengineyo.

Kwanini STAN?

Wakuu naomba mnisamehe nilipokosea kwenye hayo majina pia mnisahihishe, na kingine kwa yale niliyoyasahau naomba wajuvi wayaongezee.

Karibuni kwenye maoni,

Sasa ktk hizo ni ipi Nchi ya Kiarabu??
 
'Stan' ni neno la kiajemi ambalo maana yake ni 'nchi', 'eneo' au sehemu ni sawa na neno land kwa kiingereza ndio maana kuna maeneo yanaitwa 'Greenland' yaani 'nchi ya kijani' au 'Queensland' yaani 'nchi au eneo la malikia'
Kwahiyo neno kama 'Hindustan' maana yake ni 'nchi au eneo la Wahindu' huko Bharat ambayo ni India ya sasa.
Kesi nyingine?
 
Neno Stan kwa kiajemi au lugha nyingi za middle east (Mashariki ya kati) linamaanisha Land (Ardhi au nchi)Kwahiyo mkuu wala lisikuchanganye
Mfano
Hindustan
Tajikistan
Pakistan
Afghanistan
Armenistan = Hapa najua ndio utashangaa kwanini nimeita Armenistan. Kiukweli kwa lugha ya kiajemi ndivyo inavyoitwa nchi ya Armenia.
 
'Stan' ni neno la kiajemi ambalo maana yake ni 'nchi', 'eneo' au sehemu ni sawa na neno land kwa kiingereza ndio maana kuna maeneo yanaitwa 'Greenland' yaani 'nchi ya kijani' au 'Queensland' yaani 'nchi au eneo la malikia'
Kwahiyo neno kama 'Hindustan' maana yake ni 'nchi au eneo la Wahindu' huko Bharat ambayo ni India ya sasa.
Kesi nyingine?
Mkuu tatizo Lugha za watu, na ndio maana nimeuliza.
 
Baada ya kugoogle nimekuja hapa na jibu sena kuna walioniwahi wameshaweka majibu, ila msiojua kugoogle mzidi kuwepo ili tuzidi kujifunza vitu vipya..
 
Back
Top Bottom