Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna foleni ndefu Dar Morogoro Road. Nimetokea Mbezi Mwisho saa mbili kasoro. Sijafanikiwa kufika Kimara Mwisho hadi saa 9:32pm. Mwenye kujua sababu aniambie nitafute route nyingine tafadhali
0 Reactions
5 Replies
876 Views
Morogoro. Wafanyakazi wanne wakiwamo wafanyakazi wa kampuni ya Yapi Markezi inayojenga reli ya kisasa “SGR’ na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefariki dunia papo hapo baada ya...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Amani iwe nanyi nyote. Ndugu zangu, hivi karibuni nilipata mchongo kutoka kwa rafiki yangu ambae yuko US kwamba kuna kampuni ambayo inawasaidia watu kutoka nchi mbalimbali, watu ambao wanatamani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema hali ya mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru, inaendelea kuimarika baada ya kuanza kupokea matibabu. Habari zaidi soma=>Mwanasiasa Mkongwe...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Hakuna jambo la maana kama kuacha alama ya kudumu inayoleta faida katika maisha ya wengi. Leo tunamuenzi Baba wa Taifa tukiiangalia misingi ya utangamano wa Kitaifa. Nina uhakika tunamkumbuka kwa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
ROUTE 01: DAR - ARUSHA 11:45 asubuhi Tunaanza safari kutokea shekilango kwa kupitia njia ya Bagamoyo konda wa kike anatangaza na kutukaribisha kwenye basi lao huku akijitanabaisha kuwa wana huduma...
8 Reactions
77 Replies
9K Views
Habar wana jf.mwenye uzoefu wa hizi pikipiki kubwa mfano wa BAJA XLR ubora na bei zake kwa dar es salaam maeneo zinapopatikana nataka nijipinde nitafute moja ya mizunguko yangu ya hapa na pale...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa mh makonda anadai kuna ofisi wamechangisha pesa na wamezitumia kutii badala ya lengo lililokusudiwa. Ameenda mbali zaidi na kuwataka warudishe pesa kwenye Ac ya BMT,.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
https://www.tzaffairs.org/1994/05/massive-refugee-influx/ ANGER IN MWANZA On April 27th it was reported that 70 Rwanda and Burundi nationals in Mwanza region, who had celebrated the deaths of the...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Inasikitisha viongozi na wataalam wetu kukumbatia tiba za magharibi na kuziita tiba za jadi zisizofaa wala kuaminika. Babu zetu waliishi miaka mingi nyuma kabla wazungu na tiba zao kufika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau,kumekuwepo maneno mengi yakuonyesha nchi hiyo tajwa hapo juu eti kua ni masikini na wananchi wanaishi kwa shida aliefika au kufahamu ukweli atujulishe hapa karibuni.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mimi nimfuatiliji mzuri wa stand up comedian wa hapa Tanzania ambapo kwasasa naona Dar na Arusha zinafanya vizuri (hongera) ila cha kushangaza ni kuwa asilimia kubwa ya standup comedian wa Dar...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa na mchakato wa kuthibitisha cheti changu cha majuu, Nikakutana na mlolongo wa vitu ambavyo natakiwa kuviwakilisha ili wathibitishe. Mahala pengine wanachofanya wanachukua cheti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfumuko wa bei unazidi kudhibitiwa, bei za viwanja zimeshuka, mashamba ya kukodi yameshuka bei, kodi za nyumba zimeshuka, vinywaji kwa wanywaji bei zimeshuka (Ingawa inategemeana na wapi unataka...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Wilaya ya Lindi linamshikilia kwa mahojiano mkazi waa Kijiji cha Rondo Ntene, Aisha Mshamu (65) kwa tuhuma za kumuuwa mwananchi mwenzake aitwae Zainabu Mikumbi (80) kwa madai...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh...
26 Reactions
153 Replies
15K Views
Kuna rafiki anafanya kazi RITA tena kitengo nyeti kabisa kanipa habari ya kushtua sana kwamba sasa hivi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kupitia RITA lazima ulipie tsh 3000 ambayo ni mkakati wa...
8 Reactions
45 Replies
8K Views
Kwa kweli nilifurahi sana na wakifungwa tena mpaka watolewe nitafurahi Chanzo ni kuchanganya mpira na siasa na kuifanya taifa stars kama mali ya ccm Wamesahau kuwa mpira hauchanganywi na...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom