Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
KUNA GHARAMA HAPA?[emoji383]
[emoji871][emoji637]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini?*
[emoji871][emoji638]
*Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya usafi akuruhusu upite kuliko kukanyaga mahali alipodeki na hapajakauka bado?*
[emoji871][emoji639]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mtu ambae mmekaa nae seat moja safarini?*
[emoji871][emoji640]
*Inakugharimu kiasi gani kusema Asante kama MTU amekutendea vyema??*
[emoji871][emoji641]
*Wanaume Inakugharimu kiasi gani Kusema samahani kwa mke wako unapokosea au unapochelewa kurudi nyumbani?*
[emoji871][emoji642]
*Je Inakugharimu kiasi gani kumpakulia mke wako chakula baada ya yeye kupika?*
[emoji871][emoji643]
*Inakugharimu kiasi gani kupokea simu na kumwambia mtu Niko ktk mazingira yasiyo rafiki kwa mawasiliano kuliko kuacha simu inaita unaiangalia tu au unakata?*
[emoji871][emoji644]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia na kumtendea vyema mtu usiemjua?*
[emoji871][emoji645]
*Inakugharimu nini kutoa nguo ambazo huzivai na kuwapatia wahitaji, au chakula ambacho kimebaki kuliko kumwaga kwann usiwape watu wale?*
[emoji871][emoji637][emoji646]
*Inakugharimu kiasi gani kupokea simu ya MTU anaekudai na umwambie hujapata pesa yake bado na ukipata utampatia badala yake unazima sim?, unabadilisha lain,? unawacha inaitaa wewe hushughuliki? au unakata sim yake??*
[emoji871][emoji637][emoji637]
*Inakugharimu kiasi gani kutenda wema hata kwa yule anaekuchukia???*
[emoji871][emoji637][emoji638]
*Kwani inakugharimu kiasi gani kumnunulia nguo nzuri house girl/boy wako kukaa pamoja kula pamoja kwanini yeye anakula jikoni ninyi mezani? mkitoka outing familia yako na house girl wako, basi mavazi yake na mwonekano wake tu humtambulisha, kwanini?*
[emoji871][emoji637][emoji639]
*Itakugharimu nini wewe bosi/manager kuwasalimia au kucheka na wafanyakazi walio chini yako?*
[emoji871][emoji637][emoji640]
*Wewe mzazi itakugharimu kitu gani kumwambia mwanao unampenda!?*
[emoji871][emoji637][emoji641]
*Wewe mke itakugharimu kitu gani kumwambia mmeo unampenda!?*
[emoji871][emoji637][emoji642] *Inakugharimu kitu gani kuendeleza uhusiano mwema kwa mtu aliyewahi kukusaidia ukiwa ktk shida, umefanikiwa unasahau wema wake??*
[emoji871][emoji637][emoji643]
*Inakugharimu kiasi gani kumkumbusha mtu KUSALI??*
[emoji871][emoji637][emoji644]
*Inakugharimu Nini upo ktk nafasi ya kumsadia rafiki, mtu, atapate ajira kuliko kumpatia hela??*
[emoji871][emoji637][emoji645]
*Inakugharimu kiasi gani kukiri Jambo ulilolifanya unapoulizwa?, ili kutengeneza uhusiano wetu na Mungu wetu??*
[emoji871][emoji638][emoji646]
*Inakugharimu shilingi ngapi kujenga Imani kwa watu wako wa Karibu kwa kuwa muwazi??*