Elementi
Member
- Apr 9, 2019
- 60
- 157
Habari wakuu
Kwa wamiliki wa YouTube chanel ambazo hawazitumii au wanaziuza tafazari naomba niuuziwe mimi
Ninaitaji YouTube channel ambayo inapitisha matangazo,, nitanunua kwa bei ya maelewano
Kama roho inakuuma kuiuza na wewe huifanyii kazi ipasavyo naomba tuingie mkataba niifanyie kazi mimi alafu ntakulipa pesa kwa kuinunua na pia 30% ya mapato kwa miezi 3 ntakupa wewe kama kiinua mgongo
Shida yangu niipate YouTube channel yenye matangazo