Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninaishi dar, nimejitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya kazi yoyote ile ya halali kulingana na sheria na taratibu za nchi .
Sababu kubwa ya kutafuta kazi ni...
Hivi ukiwa hauna hela kabisa na ‘dili’ hamna huwa mnaishi vipi?
Maana hapa akili haisomi namba kabisa. Nikasema acha ni-relax.....Wapi!
Yaani moja sio moja mbili sijui Saba yaani vurugu tupu...
Dini hupumbaza watu zaiki kuliko kitu chochote. Dini haihimizi watu kufikiri, inawataka kila gumu wanalokutana nalo wasome vitabu majibu yao yamo humo, kwamba dini inafikiria kwa niamba yako, wewe...
Habari za leo wananzengo!?
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Leo ningependa kutoa mtazamo wangu wa kiroho juu ya taifa hili teule la Mungu. Taifa lenye misingi ya utu na umoja. Taifa...
Wandugu siku za ivi karibuni kumekua na wimbi la wazee kutoka na vijukuu vyao au wakaka wa makamo na watoto wao/umri sawa na watoto wao kimaadili unaona ni mzee mwenye heshima zake.
Kumbe...
Yes.....
Kama heading yangu inavyosema.....
I blv kama imekua possible Kwangu why not to you....
Napenda ku network.....napenda kujisurround na watu ambao wamenizidi kwenye kila kitu......napenda...
Mara nyingi tumekua tunatumia Anti virus kwenye PC zetu hata simu (smart phones)bila kuwa na ujuzi nazo mana ziko nyingi sana mfano SmadaV,AVG,360 total Security,Kespersky etc,
1.kwa wenye uelewa...
HISIA ZA KIMAPENZI ZA TWIGA ZIPO SHINGONI KWAKE
SIFA ZA TWIGA NI ZA KIPEKEE
Ni mnyama mrefu kuliko wote waishio ardhini.
Hupenda amani mno.
Ni mnyama ambaye wanyama wenzake wanaokula majani...
Nina mtu wangu Leo Kapata Changamoto, Alikuwa kwenye Meditation Sleep akapitiwa na usingizi alipotaka kuamka ndipo kizaa zaa kilianza kwani kila alipoona ameamka baada ya muda kidogo aligundua...
Je ikiwa mtu ameshasajiliwa kwenye chuo kimoja bachelors degree. je kuna uwezekano wa ku apply chuo cha open university na akasomea shahada nyingine tofauti
Zamani wazee walikuwa wakijisaidia mbali vichakani sababu waliamini kuwa choo kuwa karibu na nyumba ni uchafu.
Sasa siku hizi vyoo vinajengwa ndani ya nyumba ambapo watu hula humo humo na choo...
Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi...
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
Aliwalazimisha waumini wake kuuza vitu vyao na kumpa fedha za kuwanunulia nafasi yao mbinguni.
Kampala. Mtume wa Kanisa la World Message Last...
Kutokana na hali ilivyo ngumu ya maisha na namna watu wanavyosaka vyeo huku na kule ili kupata ahueni ya maisha ya kufanya utapeli wa kisomi hali imekuwa si shwari ndani ya chama kipya cha WALIMU...
Habari Great thinkers, Nina Swali naomba Wasomi wazuri wa History Wanisaidie.
Nahitaji kujua Africans (Kwa majina) ambao waliopitia mateso ya ubaguzi na kunyanyasika kutoka kwa race nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.