RC Mnyeti ampa tano mkurugenzi Kiteto

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Mkuu wa mkoa wa Mayara, Alexander Mnyeti, ameonyesha kuridhishwa na kazi anazofanya Mkurugenzi mtendaji wa Halm ya Kiteto TAMIMU KAMBONA, kuhusu kusimamia na utekelezaji miradi ya ujenzi, maendeleo ya wananchi.

Amesema miradi inayotekelezwa Kiteto ya ujenzi imekuwa mfano kwa halm za mkoa wa Manyara na hata mikoa mingine ya jirani kuja kujifunza
IMG_0080.JPG
 
Back
Top Bottom