Ukweli, Iran should be demilitarized or whipped

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
 
Yawezekana Iran ikawa mbaya kiasi hicho au isiwe kweli, maana kwa kiasi kikubwa tunapata habari kutoka kwenye vyombo vya magharibi ambao hawapatani na Iran, sina hakika kama tunapata habari sahihi kwa 100%, wenyewe wanakwambia, "if you want to kill a dog, give a bad name" yawezekana ni propanda ili kupata support kutoka mataifa mengine, ili kuharalisha uvamizi.
 
Nadhani umeongea kinyume. Al qaeda,Al nusra,Daesh(ISIL), Boko Haram wako affiliated na Wahabism ambayo haiko Iran ila inalelewa kulee nchi ya ukoo mmoja(al Saudi)
 
Ila kuna mkutano uliandaliwa na Iran miaka ya nyuma ulifanyika Sudan, ulihimiza sana nchi zote za Kiafrika zitawaliwe kwa kutumia sharia, na Irani ilihimiza sana kuwapa misaada makundi yote yatakayo anzisha vuguvugu hizo.
Na baada mwaka mmoja tu tayari Bokko harram ilianza KAZI za kuua watu hovyo hovyo.
 
Isis, al qaeda, al nussra ni maadui wakubwa wa iran. Isis na alnussra ndio makundi ambayo russia na iran wanapigana nayo huko syria. Watanzania tumelewa propaganda za wamarekani hadi tunataka vita na nchi ambayo hatuijui
Kweli kabisa mkuu kwasababu Iran asilimia kubwa ni SHIA, ila hayo makundi ya kigaidi uliyoyataja yanatokana na madhehebu mengine, sijui labda kama hao SHIA wameanzisha makundi yao mengine ya kigaidi.
 
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.
Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.
BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
Siijui dini yako. Iran nchi ya Kiislamu. Washia haswa. Mimi Mkristo.
Mkuu umekula propaganda za Mmarekani jumla jumla. Dunia isirudie kushuhudia makosa yaliyofanyika Iraq na Libya
God forbid.
 
Mtoa mada....ama unafanya makusudi au umeshambuliwa na propaganda.

Jikumbushe tu...miaka kadhaa iliyopita dunia nzima iliaminishwa kwamba..Iraq inamiliki silaha kali za maangamizi. Kwamba dunia si salama tena. Matokeo yake leo wote tunajua.

Haya mambo si ya kushabikia kabsa...after all kwanin mataifa mengine yaruhusiwe kuwa na silaha hizo na wengine wakatazwe?
 
Nchi za kiislamu ni nchi za hovyo sana zinafaa kufutwa katika USO wa dunia
Nadhani umeongea kinyume. Al qaeda,Al nusra,Daesh(ISIL), Boko Haram wako affiliated na Wahabism ambayo haiko Iran ila inalelewa kulee nchi ya ukoo mmoja(al Saudi)
 
Nchi za kiislamua kama Iran ndio zinatakiwa zifutwe haraka juu ya uso wa dunia

Wa saudia wamemualila Nik minaji akapigw shoo ya kufa mtu atasasambua tako njenje mbele ya wasaudia ,mzungu sio kabisa
Mtoa mada....ama unafanya makusudi au umeshambuliwa na propaganda.

Jikumbushe tu...miaka kadhaa iliyopita dunia nzima iliaminishwa kwamba..Iraq inamiliki silaha kali za maangamizi. Kwamba dunia si salama tena. Matokeo yake leo wote tunajua.

Haya mambo si ya kushabikia kabsa...after all kwanin mataifa mengine yaruhusiwe kuwa na silaha hizo na wengine wakatazwe?
 
Tafta kitabu hiki uongeze maarifa. "The world without islam"..sikumbuki muandishi ila google it .
 
Dunia haiwez kwenda bila uwepo wa Wababe kama hao. Wanahamasisha maendeleo ya uvumbuzi wa teknolojia mbalimbali za kiushindani. Pia tambua kwako haiji kutokea Duniani kote nchi zote, Viongozi wote na makundi yote yawe na mtazamo sawa, imani sawa, mahitaji sawa huo utakuwa sio Ulimwengu wa Kibepari. Ubepari bila ubabe na ugomvi wa kugombea Rasilimali haunogi. Rmb Nchi yoyote isiyotumia ubabe na mbinu za Wizi wa Kisheria ktk zama za ubepari zitabaki Maskini milele. Anyway usimwamshe aliyelala
 
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.
Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.
BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
Umekurupuka ww,

Kwa habari yoyote ya kisomi ni lazima iwe na source (chanzo) ww umetoa wapi haya maneno ya kihuni?

NB: Na kama source ni BBC, CNN, AMNESTRY INTERNAIONAL, DW, HUMAN RIGHT WATCH etc ujue hivyo ni vyombo vya kipropaganda vya mataifa ya magharibi huwa havisemi ukweli ila vinasemaga yale ambayo wanataka kuwaaminisha watu
 
Sijakurupuka Bali ni kweli Iran ni nchi hatari sana siyo ya kufumbia macho, IPO mtakumbuka.
 
Wabongo bwana yani mko brain washed hata hamreason tena.
Marekani imefadhiri makundi mangapi ya kigaidi?
Nchi ilizovamia vipi baada ya uvamizi zina afadhari?
Iraq, afghanistan, libya vipi siku hizi zimekuwa bora?
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
 
Nimependa kweli kuachwa kiporo mpaka uchaguzi upite.
Kwa hiyo wale wanajeshi 1500 walioonģezwa pale baharini wanakula posho za bure tu kusubiria ruhusa ya mkuu.
nimeamini marekan hawezi piga yeyote muda wowote.
 
Uongo mtupu unaongea.Uongo mtupu.
We unaijua Alshabab kaianzisha nan na anaiendesha nan?!
Makundi uliyoyataja hapo karibuni yote hayahusiki na. iran kakae chini usome vema.
Na kuhusu Iran kuwa ya kigaidi mbona hukumbushii bwana wako Bush alivyomuua Saddam Hussein kwa kusingizia?
Mbona hukumbushii Libya ilivyoharibiwa?
Mbona hukumbushii vita vya miaka nane pale Tehran?
Mbona hukumbushii Afghanistan kuchafuliwa?
Acha propaganda kakae ufuatilie mambo.
America inaisapoti Israel ipole Gollan na kuikandamiza Palestines ww huoni kuwa huo ugaidi pia?!
Acha zako ww
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom