Tanzanians aisee

SK2018

Senior Member
Jan 6, 2018
104
55
Huwa mnanishangaza sana mnavosema sie waKenya hatukijui Kiswahi. Kati ya waTz niliokutana nao, kutofautisha dh na z ni shida. Kuzitofautisha l na r ni shida. Hivi ni lini mtajua kuwa ni dhana na sio zana. Lini mtajua ni bahili na kuwa sio bahiri. Wasenzi nyie mnaoendeleza huu ujinga.

Halafu, mnatarajia nchi yenu itakua vipi kimichezo wakati wachezaji 9 wa Simba wanatokea nchi za kigeni? Wachezaji wamechoka kama Meddie Kagere na Francis Kahata ndio mnataka kuwafanya temegemeo kwa timu zenu. Mpo timamu kweli? Mpira wa Tanzania na wa Uingereza hauna tofauti. Zote zinaishia kwa magazeti, mastaa wa ligi zenu ni raia wa kigeni. Sisi waKenya tunajua Tz kwa mpira hamtuwezi, kwa riadha hamtuwezi, ndondi/masumbwi hamtuwezi, voliboli hamna anayetuweza Afrika mzima, rugby/raga Afrika mzima anayetuweza ni South Africa pekee, riadha hamna anayetuweza Afrika mzima.
 
Alshabaab nao vipi, mnawaweza?
 
hivyo ni vitu vidogo sana visikushangaze,hata wazungu vinawavuruga sana kwenye kiingereza chao.

shida ni nyinyi mnaojikuta waalimu wa lugha za watu.

kwani yale majamaa ya kwenu ambayo huwa yanatamka kunjanga badala ya kuja,hatuendangi badala hatuendi huwa yamesomea kiswahili wapi??
 
Huwa mnanishangaza sana mnavosema sie waKenya hatukijui Kiswahi. Kati ya waTz niliokutana nao, kutofautisha dh na z ni shida. Kuzitofautisha l na r ni shida. Hivi ni lini mtajua kuwa ni dhana na sio zana. Lini mtajua ni bahili na kuwa sio bahiri. Wasenzi nyie mnaoendeleza huu ujinga.

Halafu, mnatarajia nchi yenu itakua vipi kimichezo wakati wachezaji 9 wa Simba wanatokea nchi za kigeni? Wachezaji wamechoka kama Meddie Kagere na Francis Kahata ndio mnataka kuwafanya temegemeo kwa timu zenu. Mpo timamu kweli? Mpira wa Tanzania na wa Uingereza hauna tofauti. Zote zinaishia kwa magazeti, mastaa wa ligi zenu ni raia wa kigeni. Sisi waKenya tunajua Tz kwa mpira hamtuwezi, kwa riadha hamtuwezi, ndondi/masumbwi hamtuwezi, voliboli hamna anayetuweza Afrika mzima, rugby/raga Afrika mzima anayetuweza ni South Africa pekee, riadha hamna anayetuweza Afrika mzima.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
 
Vyenye unaandikanga nyusi zenye ukakazi usiku huu.. m guessing hujapata supper bwana mdogo. Ukujenge bongo chakula ipo yakumwanga.
 
HIVI KWA SASA DEBE LA MIRUNGI LIMEFIKIA KIASI GANI ?
Ukunjage faster ujibu we nyanya yangu
 
Back
Top Bottom