Nilifurahi sana baada ya taifa stars kufungwa na Kenya

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Kwa kweli nilifurahi sana na wakifungwa tena mpaka watolewe nitafurahi

Chanzo ni kuchanganya mpira na siasa na kuifanya taifa stars kama mali ya ccm

Wamesahau kuwa mpira hauchanganywi na siasa??maana mashabiki wanatoka vyama vyote

Na wafungwe tu...ukizingatia yule jamaa zero kila kitu ni zero eti awasimamie washinde hiyo ni ndoto

Zero ni zero tu

Nilifurahi sana
 
Ukweli siku zote unauma....furaha kwa wananchi wengi....wapuuzi tu ndio hawataelewa
Ziro ni stupidest ever
 
hata mimi sio siri nilifurahi tulivyopigwa! wanaleta upumbavu wa chama chao cha siasa kwenye mambo ya kitaifa, na tupigwe tu. Hiyo mechi ya mwisho itakua aibu tupu, lazima zifike tano!
 
Hahaha walijiandaa wakamsahau jecha wakachapwa. Nimesikia juzi wanasema mliwachomea vifaranga, wasingewaacha. Mgeongeza dakika mbili mgefungwa kumi bila, wana hasira sana na serikali ya ccm.
 
Kwa kweli nilifurahi sana na wakifungwa tena mpaka watolewe nitafurahi

Chanzo ni kuchanganya mpira na siasa na kuifanya taifa stars kama mali ya ccm

Wamesahau kuwa mpira hauchanganywi na siasa??maana mashabiki wanatoka vyama vyote

Na wafungwe tu...ukizingatia yule jamaa zero kila kitu ni zero eti awasimamie washinde hiyo ni ndoto

Zero ni zero tu

Nilifurahi sana
Kwa mara ya kwanza niligundua naipenda
Tanzania nilijikuta automatic nashangilia goli la pili lililo fungwa na samatta kwa furaha ilio toka moyoni tena ndani.
Hakuna miujiza itayo jitokeza pasi jitihada za mimi na wewe.
Mkataa kwao ni mtumwa.
 
Kwa kweli nilifurahi sana na wakifungwa tena mpaka watolewe nitafurahi

Chanzo ni kuchanganya mpira na siasa na kuifanya taifa stars kama mali ya ccm

Wamesahau kuwa mpira hauchanganywi na siasa??maana mashabiki wanatoka vyama vyote

Na wafungwe tu...ukizingatia yule jamaa zero kila kitu ni zero eti awasimamie washinde hiyo ni ndoto

Zero ni zero tu

Nilifurahi sana
Kesho utakuja kutuhujumu eti tumchague lissu ,tushawashitukia wake wa mabeberu
 
Acha na mimi nitoe ya moyoni bana..

Ijumaa nilikuwa na safaribya kwensa sehemu mkoani, ilikuwa ni group trip. Tukajichanga tukalipia nauli na mambo mengine kufanikisha hiyo trip. Tulitakiwa kuondoka saa 11 Alfajiri ya Siku ya Ijumaa.

Nilienda kibandani kucheki mtanange wa Stars na Harambee, nikaburudishwa vya kutosha na Harambee Stars, niliporudi nikasema ngoja nilale ili niamke mida ya saa 10 kuwahi safari, Yasalaleeee, mambo yakawa ndivyo sivyo, nikalalal fofofofoo usingizi mzito nikachelewa kuamka na kuchelewa safarini hadi nikaachwaa.

Nikasema siwezi kujutia maana kwa burudani niliyoipata usiku wa jana yake imeukonga moyo wangu.

Hongereni sana Harambee Stars, Uzalendo nchi hii hasa awamu hii una gharama kubwa sana na siwezi kuimudu abadani!!
 
cc; Jiwe aka Sizonje na baba_keagan.
Someni Uzi huu kisha mjiulize mbona utaifa umepotea kiasi hiki wakati huu?
Nina hakika haya ya Harambee stars waliyotufanyia ingekuwa miaka mitano iliyopita tungesikia Luna watu wamejiua, wako hospitali au majumbani wagonjwa.
Kwa nini sasa ni tofauti? Nakumbuka Angola ilivyo ingia world cup Savimbi na UNITA waliweka silaha chini ili kuishangilia timu yao. Leo sisi inafika mahali watu wanasema bora "tufungwe"?
Kuna kila dalili kuwa TANZANIA pekee ndiyo timu yake ilikuwa inapingwa ndani ya nchi katika washiriki wote AFCON '19
 
Back
Top Bottom