Kuna tetesi kuwa RITA wameambiwa wafanye makusanyo ya pesa kama traffic kupitia ukaguzi wa vyeti

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Kuna rafiki anafanya kazi RITA tena kitengo nyeti kabisa kanipa habari ya kushtua sana kwamba sasa hivi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kupitia RITA lazima ulipie tsh 3000 ambayo ni mkakati wa makusanyo kama yanavyofanywa na traffic na vitambulisho vile vya 20
.
.
Na amenambia hata mkakati uliopo sasa hivi ni waombaji wa vyuo vikuu nchini hapa,wanaohakikiwa na wanaotaka kuomba mkopo wa kusoma ambao ni malaki ya watu na lazima walipe buku 3 za uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kabla hujaomba mkopo sasa piga mahesabu 3000 kwa wahakikiwa mfano laki 3 utajua ni sh ngapi?
.
.
Nimeelezwa mambo ya kushangaza acheni tu ile issue ya rita kuhackiwa juzi kati ilikua ni zengwe tu mpango upo hivi:-

1.Wale waliotuma 3000 zao toka mwanzo wataambiwa mtandaoni ulihakiwa hivyo taarifa zao zimepotea hivyo waombe tena na watume 3000 nyingine=mkakati hapa ni makusanyo...
.
.
2.Wataomba wengi mkopo ila mpaka ulipe 3000 cheti kihakikiwe na hapo watafanya kuchelewesha kuhakiki maksudi nia ni kwamba wengi wasiombe au wengine wajikatie tamaa waache ili pesa ziende kwenye miradi mingine mfano ndege,reli etc...
.
.

My take:hizi taarifa nimepewa...na kama hawa RITA watakua wanafanya hivi malipo ni hapahapa hii ni dhuluma kubwa sana itakua maana waombaji wengi ni watoto wa family duni wanaotamani kufikia ndoto zao kupitia elimu..

RITA huu mchezo kama mnaufanya basi nyie ni jipu nchi hii...

Update:Yametimia maneno yangu wale wote waliotuma pesa ya uhakiki mwanzo wameambiwa watume tena pesa ili wahakikiwe upya...

Halafu pesa zinakwenda hazinambombo ngafu

Tunataka pesa za kununulia ndege sie...
 
Miafrika kwa kupenda bure hatari elimu bure,matibabu bure,vitambulisho bure. Aisee hata cheti cha kuzaliwa unataka bure wakati buku 3 tu.

Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Uhakiki huu hufanyika kila mkoa au ni RITA makao makuu tu. Ukitaka kufanya online itawezekana? Naomba link?
 
Usiwe mwepesi wa kuongea kama vile uko salon ya kike unasukwa. Anataka vyeti vihakikiwe si huyo huyo aliyevitoa kwa mara ya kwanza? Kwa kutokua na security measures kwake ndio tena anataka kuhakiki kazi yake mwenyewe. Sasa kwanini a victimize watu?
Elfu tatu labda ni ndogo kwa nyie watu wa Dar, lkn Sisi wa Bukoba elfu tatu ni hela ya matumizi ya siku tatu
 
Labda nilivyosoma nimefahamu tofauti na malengo ya mleta uzi, halafu mkuu una matusi ya rejareja kama James delicious.🀣

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Huyo James ni yule unaefanya nae biashara zenu kharam?
 
Uhakiki huu hufanyika kila mkoa au ni RITA makao makuu tu. Ukitaka kufanya online itawezekana? Naomba link?
Kafanye kwenye halmashauri yako ya wilaya hao RITA watakusumbua kupata majibu

Me niliwatumia tangj trh25 lkn hawajakirudisha mpk sasa

Ila jana nimeenda halmashaur hata dk10 haijachukua nikapigiwa muhuri na kila kitu

Note:chet chako lazima kiwe kimetengenezwa kwenye hiyo Halmashauri ya hiyo wilaya
 
Kuna rafiki anafanya kazi RITA tena kitengo nyeti kabisa kanipa habari ya kushtua sana kwamba sasa hivi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kupitia RITA lazima ulipie tsh 3000 ambayo ni mkakati wa makusanyo kama yanavyofanywa na traffic na vitambulisho vile vya 20
.
.
Na amenambia hata mkakati uliopo sasa hivi ni waombaji wa vyuo vikuu nchini hapa,wanaohakikiwa na wanaotaka kuomba mkopo wa kusoma ambao ni malaki ya watu na lazima walipe buku 3 za uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kabla hujaomba mkopo sasa piga mahesabu 3000 kwa wahakikiwa mfano laki 3 utajua ni sh ngapi?
.
.
Nimeelezwa mambo ya kushangaza acheni tu ile issue ya rita kuhackiwa juzi kati ilikua ni zengwe tu mpango upo hivi:-

1.Wale waliotuma 3000 zao toka mwanzo wataambiwa mtandaoni ulihakiwa hivyo taarifa zao zimepotea hivyo waombe tena na watume 3000 nyingine=mkakati hapa ni makusanyo...
.
.
2.Wataomba wengi mkopo ila mpaka ulipe 3000 cheti kihakikiwe na hapo watafanya kuchelewesha kuhakiki maksudi nia ni kwamba wengi wasiombe au wengine wajikatie tamaa waache ili pesa ziende kwenye miradi mingine mfano ndege,reli etc...
.
.

My take:hizi taarifa nimepewa...na kama hawa RITA watakua wanafanya hivi malipo ni hapahapa hii ni dhuluma kubwa sana itakua maana waombaji wengi ni watoto wa family duni wanaotamani kufikia ndoto zao kupitia elimu..

RITA huu mchezo kama mnaufanya basi nyie ni jipu nchi hii...
Wewe sred zako kama si za udini basi ni za kiuchonganishi. Iran yaichapa USA, wapalestina wawapiga Israel nk
 
Hao RITA zoezi la utoaji wa vitambulisho vya taifa limewashinda sasa wanakuja kuhakiki vyeti haya wanahakiki ili iweje?

ipo siku tuatambiwa watanzania wote tukate leseni za kutembea kwa miguu kama mambo ndio haya yani serikali haina pesa mpaka buku buku zetu inazitaka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ noma sana, tutaelewana tu.
 
Back
Top Bottom