Hivi Serikali ya Tanzania inakwama wapi?

Sevenjr

Member
Aug 3, 2018
32
127
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1562340728311.jpeg
    FB_IMG_1562340728311.jpeg
    47.9 KB · Views: 38
Tegemea ufafanuzi Wa kina na wakutisha toka kwa wazalendo jinsi gani maneno ya "hapa kazi tu" yanameleta manufaa makubwa kabisa tofauti na hiyo "takataka" tena yasiyo na maana yoyote waliyoandika wakenya hapo kwenye vindege vyao.
 
Tangu lini watu wa akili za ndugai na msiba kiccm wakawa na Akili!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Me naona Tz tuna pambana sana mbona ujaweka hile ndege imeandikwa ng'oro ngoro Dodoma ndio makao makuu ya nchi na karibu ndege zote zina vivutio vya utalii
 
Back
Top Bottom