Homa ya dengue dar bado ipo

Homa ya dengue dar bado ipo

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Nimesikiliza taarifa ya Waziri Ummy Mwalimu kwamba homa ya dengue takwimu zake zinaonekana maambkizi kuteremska hasa Kwa wilaya ya kinondoni binafsi nimeshtushwa maana utafiti unaoelezwa kufanyika kupitia sehemu ndogo sana.
Binafsi Mimi ni muathirika wa ugonjwa huo lakini matibabu yake nimeyapata Kwa mateso makubwa sana sio wagonjwa wote wanaoenda hospital za Serikali na hospital za binafsi hazina vipimo vya dengue ... Wagonjwa wanapoenda hospital za binafsi wanalazimika kulipia huduma
Swala la upigaji dawa kuzuia dengue linatakiwa kufanyika mtaa Kwa Mtaa na sio kupitia l kwenye madimbwi tu Bali liwe zoezi la kufinga Mtaa na kupigwa dawa nyumba hadi nyumba na sio kufuata mabwawa
 
Mkuu ilikuchukua siku ngapi kupona kabisa
 
Back
Top Bottom