Kila kukicha watu wanateseka na maisha yao yanazidi kua magumu so mumujaribu na nyie uyu Mungu anae tusaidia sisii.

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,918
Habar zenu wakuu moja kwa moja kwenye mada napenda kuwasilisha mada itakaye mugusa achukue hatua

Binafsi kabla sijasogeleana karibu na Mungu wa mbinguni ktk.maisha yangu kila leo changamoto zilikua aziishi nilipo amua kumsogelea karibu japo azikuisha kwa Mara moja lakin siku adi siku zilipungua mpka kufikia kuisha na zilizo baki zinatatulika kwa msaada wake kwa kumuomba anajibu.

Napenda kuwasihi ndugu zangu kwa imani yako ya kumuabudu Mungu simama wima usitange tange huku na huku Mara mitume na manabii uhusiano wa Mungu nawanadamu ni sawa na baba na mtoto sasa mahtaji yako kwa baba yako unamtuma mtu akuombee sio sawa tujifunze kumsogelea karibu Mungu na kumuuliza habar ya maisha yetu kumbuka duniani atukujileta wenyew yupo alietuleta ndio anapaswa kujua tule nin na tuvae nin!!!
Mwisho na Maliza na kusema hii mada sio ya watu wote kuna watu itawalenga km wew sio mlengwa tafadhali usituchafulie Uzi pita tu.
 
jana niliangalia movie moja niliyoipenda sana inaitwa STIGMATA, inasema 'the kingdom of God is within yourself' anaongezea kwa kusema 'A church is the people not the bulding, the church is you'
 
Walokole wanafundishwa kutafuta pesa na so kuziishi amri kumi za Mungu.. Alafu wanajiona tayarj wako na Mungu ...
 
Walokole wanafundishwa kutafuta pesa na so kuziishi amri kumi za Mungu.. Alafu wanajiona tayarj wako na Mungu ...
Sio vizuri kukashifu dini za watu izo ni njia tu za kwenda kwa Mungu ambazo binadamu wanatumia kikubwa ni kua na Mungu kwenye maisha yako .
 
Usipo fanya kazi ukajituma uwezi kufanikiwa
Unataka kuniambia makonda anajituma Sana kuzidi wabeba mizigo wa buguruni sokoni au wanaobeba zege kwenye majumba ya ujenzi ni neema tu ya Mungu ,kuwapa watu akili na bahati.
 
Back
Top Bottom