Uongo wa miaka juu ya miaka 2000 ya kifo cha Kristo

Nibiru X

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
410
369
Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili.

Kama Yesu alizaliwa mwaka 0 na kufa mwaka 34 iweje tuseme alikufa miaka 2019 iliopita
Yesu alikufa miaka 1985 iliopita (2019-34=1984) hivyo huu ni mwaka 1985
 
Mmh nitarejea
 
Yesu ajawahi kuexist popote pale duniani..

Waafrika sababu ni wavivu/tegemezi ndio maana mnapenda sana kuokolewa na mtu/vitu visivyo exist.

History huandikwa na aliena mamlaka kipindi cha tawala tofauti za dunia, sasa jiongeze kujua yale waliyoyaficha kwenye history zao
 
Yesu alizaliwa mwaka 2 mi Kwa taarifa tuu. Kama umewahi kusoma historia zamani watu walikuwa wanahesabu kutoka juu kwenda chini kwahiyo Yesu alizaliwa mwaka 2 kutoka juu. Kwahiyo Kwa mtiririko huo ni kwamba 2, 1, 0, 1 ,2, 3 kwahiyo ndivyo ilivyo. Fuatilia miaka ya AD after death au huitwa ano domino na BC maanake Before christ. Hata kwenye historia ndio ilivyo
Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili.

Kama Yesu alizaliwa mwaka 0 na kufa mwaka 34 iweje tuseme alikufa miaka 2019 iliopita
Yesu alikufa miaka 1985 iliopita (2019-34=1984) hivyo huu ni mwaka 1985
 
Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili.

Kama Yesu alizaliwa mwaka 0 na kufa mwaka 34 iweje tuseme alikufa miaka 2019 iliopita
Yesu alikufa miaka 1985 iliopita (2019-34=1984) hivyo huu ni mwaka 1985
Kwahiyo Yesu hakuzaliwa mwaka zero
 
Tunakaribisha katika Mamia ya karibu. Hiyo 1984 kuitaja yote ni ndefu Sana.
 
Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili.

Kama Yesu alizaliwa mwaka 0 na kufa mwaka 34 iweje tuseme alikufa miaka 2019 iliopita
Yesu alikufa miaka 1985 iliopita (2019-34=1984) hivyo huu ni mwaka 1985
Kwani nani kakuambia Yesu alikufa?
 
Kumbuka kabla ya hivyo vpnd nyuma kdg miaka ilikua ikihesabiwa kurd nyuma nazani umenipata.
Hapana hakuna mtu aliwahi kuhesabu miaka kwa kurudi nyuma bali wanahistoria ndio walioanzisha huu mfumo ili kuunganisha matukio yaeleweke kwa urahisi...Mfano Plato alizaliwa karne ya 3 kabla ya kristo Pyramid zilijengwa 4000 kabla ya kristo...ila kipindi pyramid zinajengwa walikuwa na kalenda yao tofauti na ya kwetu
 
Yesu ajawahi kuexist popote pale duniani..

Waafrika sababu ni wavivu/tegemezi ndio maana mnapenda sana kuokolewa na mtu/vitu visivyo exist.

History huandikwa na aliena mamlaka kipindi cha tawala tofauti za dunia, sasa jiongeze kujua yale waliyoyaficha kwenye history zao
ajawahi=hajawahi

tuachane na imani,sasa tueleze ni kwanini tuna miaka 2019,na si miaka idadi nyingine.
 
Japo kuwa si mimi uliyeninukuu....ningependa tuendeleze mjadala
Awali ya yote zamani hawakuwa wakihesabu kurudi nyuma bali walikuwa wakihesabu miaka baada ya tukio fulani mfano wakati wa mfalme fulani nk
Rejea biblia takatifu.
Danieli 1:1
Danieli 1:1 BHN
Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Yehoyakimu wa Yuda, mfalme Nebukadneza wa Babuloni alikwenda Yerusalemu, akauzingira mji.
BHN: Biblia Habari Njema
 
Back
Top Bottom