Gari la shirika la posta Ruvuma linafanya safar ya Songea makambako kwa kupakiza abiria

batan

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
417
364
Gari la shirika la posta Ruvuma linafanya safar ya Songea makambako kwa kupakiza abiria na uku likiwa na usajir wa shirika la uma.Kama hii kitu inawezekana basi mashirika mengine yaige mfano huu ili kuongeza mapato kwa shirika.. Hapa likiwa stend ya msamara mjini Songea likisubir folen yake ifike lichukue abiria.
IMG_20190426_082049_2.jpeg
IMG_20190426_082018_8.jpeg
 
Ungemfuata Dereva ukampa onyo rafiki,kuliko kuleta huku moja kwa moja,huoni umeshamwaribia mkaka wa watu kibarua,
Watoto watakula nini sasa?mi nikiwaza watoto naona huruma sana mkuu
 
Sidhani kama ni sawa hapo
Sasa hapo hizo hela zinaenda wapi?
Au ndio yale ya mzigo umebeba wa tajiri na wewe unaongeza wa kwako?
Sijui Insurance nani atalipa
 
Gari la shirika la posta Ruvuma linafanya safar ya Songea makambako kwa kupakiza abiria na uku likiwa na usajir wa shirika la uma.Kama hii kitu inawezekana basi mashirika mengine yaige mfano huu ili kuongeza mapato kwa shirika.. Hapa likiwa stend ya msamara mjini Songea likisubir folen yake ifike lichukue abiria. View attachment 1081931View attachment 1081932

Afadhali hawa wamejiongeza (wamejitahidi)kuangalia thamani. Wenzao TANESCO wanatumia malori maalum yenye "crane" kuzunguka mitaani kusoma mita , kazi ambayo ingeweza kufanywa kwa kutumia pikipiki.
 
Kamuharibia kivipi? Huoni kama hadi Sumatra wanahusika hapo? Yaani hilo ni rasmi hakuna kificho hapo.
Ungemfuata Dereva ukampa onyo rafiki,kuliko kuleta huku moja kwa moja,huoni umeshamwaribia mkaka wa watu kibarua,
Watoto watakula nini sasa?mi nikiwaza watoto naona huruma sana mkuu
 
Nimeliona stendi ya zamani ya Njombe dakika 20 zilizopita ndio linasanya kuelekea Makambako. Limeandikwa Posta Coach. Wameamua kujiongeza ili kukidhi matakwa ya kuwa wasafirishaji pekee wa vifurushi kama ilivyoelekezwa.
1098435
1098437
 
Gari la shirika la posta Ruvuma linafanya safar ya Songea makambako kwa kupakiza abiria na uku likiwa na usajir wa shirika la uma.Kama hii kitu inawezekana basi mashirika mengine yaige mfano huu ili kuongeza mapato kwa shirika.. Hapa likiwa stend ya msamara mjini Songea likisubir folen yake ifike lichukue abiria. View attachment 1081931View attachment 1081932

Ujue posta ni shirika linatakiwa kujiendesha tena kwa faida, kwahiyo huwezi jua kama wameruhusiwa na SUMATRA kufanya biashara.
 
Ujue posta ni shirika linatakiwa kujiendesha tena kwa faida, kwahiyo huwezi jua kama wameruhusiwa na SUMATRA kufanya biashara.

Shirika limeanzishwa na linaeandeshwa kwa mujibu wa sheria . Je sheria inasemaje kuhusu hilo?
 
Ujue posta ni shirika linatakiwa kujiendesha tena kwa faida, kwahiyo huwezi jua kama wameruhusiwa na SUMATRA kufanya biashara.
Ili gari lifanye biashara ya kusafirisha abiria lazima lipate kibali toka Sumatra. Kwa gari hili kuonekana likifanya biashara hiyo, tafsiri isiyo rasmi ni kuwa tayari limeruhusiwa na Sumatra, ama sivyo maaskari wa barabarani pamoja na maafisa wa Sumatra watakuwa kikaangoni kwa kuacha gari likiwa linafanya biashara pasipo kufuata taratibu.
 
Back
Top Bottom