Jinsi ya kupata kitambulisho Nida

Jinsi ya kupata kitambulisho Nida

Yohimbine

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
966
Reaction score
2,050
Wakuu Habari za saizi na imani wote ni wazima na kama ni ndio basi Mungu apewe sifa ...
Je process gani za kufata
 
1. Uwe Mtanzania halisi na siyo Mkimbizi kama mwana JF Mmoja nimemsahau Jina
2. Ujue Kuongea na Kuandika vizuri Kiswahil na usikosee kama ulivyoandika Wewe hapo Kufata badala ya Kufuata
3. Uwe na Akli Timamu kwani Matahaira tulionao kwa sasa Tanzania wanatutosha na bado tunahangaika nao
4. Uwe na Ndui Mkononi na siyo Matakoni
5. Uwe huna Historia yoyote ya Kuwa Gaidi
6. Uwe na Uwezo wa Kuzaa au Kuzalisha

7. Uwe Mwanachama wa Chama Kinacholazimisha Kuwazeeka Watanzania na siyo wa Vyama Vijana vizuri
 
Embu pitia kwenye mabanda yao hapo sabasaba kama upo dar utapata maelekezo......
 
Haichekeshi pole sana kwa kutojitambua

Bado kuna maisha mengi tu nje ya siasa.
1. Uwe Mtanzania halisi na siyo Mkimbizi kama mwana JF Mmoja nimemsahau Jina
2. Ujue Kuongea na Kuandika vizuri Kiswahil na usikosee kama ulivyoandika Wewe hapo Kufata badala ya Kufuata
3. Uwe na Akli Timamu kwani Matahaira tulionao kwa sasa Tanzania wanatutosha na bado tunahangaika nao
4. Uwe na Ndui Mkononi na siyo Matakoni
5. Uwe huna Historia yoyote ya Kuwa Gaidi
6. Uwe na Uwezo wa Kuzaa au Kuzalisha

7. Uwe Mwanachama wa Chama Kinacholazimisha Kuwazeeka Watanzania na siyo wa Vyama Vijana vizuri
 
Wakuu Habari za saizi na imani wote ni wazima na kama ni ndio basi Mungu apewe sifa ...
Je process gani za kufata
Nenda kachukue fomu kwa mtendaji ,ukitoka hapo nenda ofsi za nida na fomu yako kaa hapo utsajiliwa na badae sana utapata namba ya nida na ukichoka kusubili kabsa miez au mwaka utakipata.
 
Back
Top Bottom