Natamani maisha ya shule ya msingi na sekondari yangekua kama ya chuo na kazini

Digital Marketer

Senior Member
May 1, 2019
112
149
Za mida wakuu....
Kama kichwa kisemavyo.....
Sikuwai kupenda maisha ya shule ya msingi na secondary...
Kwasababu...
1.Fimbo...kiukweli nilikua sipendi fimbo
2.Njaa kali...mda mwingi nilikua sishibi...hata nikila namna gani.
3.Kuulizwa matokeo kila wakati...Yani hii ilikua inaniboa balaa....afu kwetu hata ukiwa wa kwanza utaambiwa umekua wakwanza kwenye darasa la vilaza....
4.Na mauzi mengine madogo madogo.

Chuo na kazini

1. Nilikua huru atimae....na GPA ikaanza kusoma poa kwasababu akuna mtu wa kunifatilia....

2.Leo parting kesho U.E....maisha burudani...

3.Mtaani unatumia akili....akuna kukariri.....
Maisha full kufikiria.....Yani full burudani....

4. Na mambo mengine mazuri na mabaya.
 
hujatofautiana na mimi mkuu,masuala ya fimbo shulen yalikuwa yananikera kupita maelezo
 
Ms nilikuwa nachukia sana kuamka saa kumi na moja ile boarding jinsi ile kengele inavogonga,nilichofanya ni kutafuta uongozi I'll niwe nalala mpaka saa moja ndo naamka kwenda class
 
Back
Top Bottom