Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania, imekanusha habari inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook kuwa inatoa mikopo bila riba ya kilimo na biashara.
Kanusho hilo limetolewa...
Mzuqa
Kale ka mkuu wa mkoa wa Iringa mwenye sifa za kisoro na za kijingayuko wapi siku hizi?
Mbona hasikiki siku hizi na mbwembwe zake? Jamaa kalikuwa media attention kutafuta sifa za kishaynzy...
Beria hufunguliwa saa 12 jioni na kuondolewa saa 12 lfajiri, beria huwa ina vyuma kama kizuizi, hairuhusiwi gari kupita bila kukaguliwa hii ni kwa ajili ya usalama wa nchi kwa kiasi flani...
Ndugu Mteja wa DStv, kuanzia 01/08/2019 SS4 haitakuwepo kwenye kifurushi chako. Endelea kufurahia maudhui mengi yaliyokuwepo SS4 kupitia SS9/SS10.
Wameshaanza tena kuwa kama hizi matakataka ya...
Ndugu zangu nawasalimu.
Mtanisamehe kwa uandishi wangu na mpangilio, nimeona kupitia taarifa ya habari - utv ya azam.
kuna ma sheikh wa bakwata wakizungumzia suala la azana huku wakionanisha na...
Siku moja Arthur Barry aliyekuwa mwizi maarufu wa Vito vya thamani (jewels) aliulizwa na mwandishi wa habari; ni nani ambaye unakumbuka uliwahi kumwibia sana kwenye maisha yako. Arthur Barry...
Nimesikia taarifa ya Habari kiongozi mkubwa huko pwani kibaha akisema hizo korosho tani 15 aliekamatwa nazoi iwe onyo kwa wengine
Mwananchi alijitetea kua ni za kwake amezinunua huko kimazichana...
Hi wadau,
Korosho ni tatizo, korosho limekuwa tatizo kwa muda mrefu na ninatatizo ambalo mpaka leo hii halina solution ya uhakika. Sasa kimefanyika kitu kizuri sana cha kuandaa Cashewnut...
Ndugu habari zenu! Leo nimerudi tena kwenu
Siku nilipopooza ghafla nikaingia kwenye Maisha haya kama a Different abled person mwanzoni sikuwa na hofu kabisa, nilijua either nitapona kwakuwa...
Mamba ni moja ya viumbe hai hatari kwa wanyama wengi, kwa lugha ya malkia anaitwa "crocodile" neno hili limetokana na neno la kigiriki "krokodilos" lenye maana ya mjusi, Lakini ki utafiti mamba ni...
Habari za asubuhi wadau kwanza nashukuru kwa ushauri wenu
Mliyonipa atimaye sasa hivi nimepanga nimeshatoka kwa bosi sasa hivi nipo kwenye geto langu
Ndio nimeamka mida hii nataka kwenda kwenye...
*JITIBU NYUMBANI KWAKO*
*KIUNGULIA*
[emoji1484][emoji1484]
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka
*KUZUIA KUHARISHA*
[emoji1484][emoji1484]
Kamua maji ya chungwa...
Nina siku kadhaa nina uguza Mzee wangu hapa Hindu Mandal Wod Alipo lazwa Mzee siku mbili mbele akaja kulazwa pia mzee wa kipemba Mtu mzima sana hata kwa mzee wangu
Kilicho fanya niwasifie na...
Kwanza nianze kwa kumpongeza mhe.rais kwa utaratibu wa kuweka vitambulisho kwa wajasiliamali walio na mtaji chini ya mil4 kwa mwaka ili nao wachangie mapato ya nchi
Mheshimiwa rais utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.