[emoji778] 1. The anger of a penis doesn't destroy the vagina. (Zimbabwe)
[emoji778] 2. There's no virgin in a maternity ward. (Cameroon)
[emoji778] 3. A child can play with it's mother's breasts...
Ikiwa ni jumapili tulivu nikiwa pande za mwika Moshi hapa najiliwaza na Serengeti lite nawaza mengi ila uchawi masuala ya kwa waganga sitaki tena.
Miezi miwili iliyopita nikiwa muajiiriwa wa...
Katika mambo ambayo yanaweza kuwa sababu ya kila mtu mwenye mafanikio kufika pale alipo ni tabia hii ya kufanya maamuzi kwa wakati. Kama umeambiwa tafiti zinasema mwaka huu mvua hazitanyesha...
Habari wana jukwaa. Mnyonge mnyongenj, haki yake mpeni.
Natoa pongezi nyingi sana kwa Mh Waziri Kangi Lugola kwa uamuzi wake uliojaa utu na busara wa kuwaagiza Ma RPC kutozuia mabasi kutembea...
Jali maisha yako na familia yako kwanza, wewe ni msomi tena mwenye uwezo na kisomo cha hali ya juu sana kwenye masuala ya sheria. Tafuta huko ulaya kazi yeyote ile ufanye.
Huku jimbo lako tiari...
Habarini wakuu...?
Poleni wafiwa wote kwanza
Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu
1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio...
Niaje!
Umasikini ni ile hali ya kutomudu kujipatia mahitaji ya msingi ambayo ni:
CHAKULA
Binadamu kwa kawaida anahitaji kula milo mitatu, milo hiyo angalau ikidhi nadharia ya mlo kamili yaani...
*Na Mwamba wa Kaskazini*
Jioni hii nimerejea zangu Ngaramtoni baada ya mishe mishe za nje ya jiji langu la Arusha kwa wiki kadhaa sasa.
Nimekutana na mijadala mingi iliyonipita kidogo lakini...
Habarini wakuu.
Jamaa wanaoendaga mwezini , wakimaliza ziara yao hurudije duniani ?
Hurudi wakielea au hufuatwa na chombo kingine huko ?
Hii space katikati ya dunia na mwezi wanakatizaje ...
Dar es Salaam. Askari polisi, Anakreti Telesphory (32) wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya mtandao ameieleza mahakama ya Wilaya ya Ilala alivyowahoji wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Kampala...
Kuna kampeni za kipuuzi zinaendelea humu JF kuisifia Iran mara ni taifa lenye nguvu mara linaongoza katika aeropspace research nk Ukweli utabaki kuwa Israel ndiyo baba lao pale Mashariki ya Kati...
Mida hii,mtandao wa jf unaonyesha wanaoperuzi huku hawajajiunga kama elfu nne na kidogo na wanachama hai ni 1500 na ushee hivi walio hewani,
sasa nyie guests mnaodukua jf si mjiunge tu tuwe wengi...
Jamani kwa walio Arusha au kwa wakazi wa hapa wengi ni mashahidi juu ya hili, vijana wengi hupenda pesa sana kuliko utu,.
Hapa bangi na mirungu ndo starehe za wengi, bila kujali mwanamke au...
*Majaribio yaliyofanywa yafanikiwa kwa asilimia 100
*Mamlaka zikiruhusu, tiba kuanza kutolewa mwakani
NEW YORK- MAREKANI
WATAFITI nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi...
Vitu huharibika kwa ajali au bahati mbaya. Wengi wetu tunapenda kuacha tu kitu kinachoharibika kiendelee kutumika.
Unaweza kumkuta mtu amejenga
nyumba na kuweka ensuite bathroom chumbani...
Jana tulianza kuangalia aina nne za stress kwa mujibu wa Dr.Karl Albrecht na naamini umeanza kufanya kitu kuhusiana na aina ya kwanza ya stress.
AINA YA PILI YA STRESS inaitwa “SITUATIONAL...
Wafanyabiashara wa Nyama zaidi ya 135 katika jiji la Arusha wametishia kuanza kuziteketeza Ngozi za Mifugo wanazozalisha baada ya kuchinja Mifugo kwa kile walichodai ni kushindwa kupata masoko ya...
Nimepata ugeni wa wadau wangu toka bush, sasa kuna jambo wamelikomalia sana nalo ni kutaka niwapeleke beach yani.
Mimi sio mpenzi wa kuzurura maeneo kama hayo so sina uzoefu. Hebu naombeni...
Ukuu na Mafanikio havipatikani kwa kwenda shule au kwa kuwa na degree. Kama ingekuwa ni shule basi Maprofesa ndo mabilionea wa dunia. Kwenda shule ni kitu kimoja na kufanikiwa kupitia shule yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.