TIC: Tanzania Cashewnut International Investment Forum Mtwara.

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Habari watu wa Mungu.

Karubuni kwenye forum hii inayofanyika mtwara trh 12-13 Julai 2019.
Venue; BOT Mtwara.
Wageni wa kiserikali
Wakuu wa mikoa Lindi,Mtwara,Ruvuma na pwani.
Mkurugenzi TIC Ndugu Mwambe.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Mwaitikio ni mkubwa kweli kweli,

RC Lindi anatoa kiufupi kbs uzalishaji wa korosho na umuhimu wa kuwekeza ktk korosho ili kuongeza ajira kwa vijana.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Mkutano ukiendelea
1562916442312.jpeg
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Mgeni rasmi alipaswq kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muongano wa Tanzania Ndugu John Magufuli.
Lakini kwa sababu zilizo nje,hakuweza kufika.
Support yake ni kubwa sana kwenye sekta hii ya kilimo,hasa korosho katika kuiongezea thamani na kukuza ajira huku wakulima wakinufaika zaidi kwa jasho lake
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
RC lindi anawahakikishia wawekezaji kuwa huduma zimeboreshwa,
Dawati la uwekezaji limeanzishwa
Nishati ya uhakika
Huduma za benki zipo
Mawasiliano yapo
Usalama ni uhakika.
Mnakaribishwa Lindi.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
RC Ruvuma,
Uzalishaji ni tani 20,000 za korosho
Kiwanda kimoja,uwezo tani elfu 5.
Korosho za ruvuma ni tamu sana kuliko za sehemu yeyote ile Tz.
Miundombinu ipo vzr. Wote mnakaribishwa Ruvuma.
 
Makosakuumbwa

Senior Member
Mar 28, 2015
130
250
Mgeni rasmi alipaswq kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muongano wa Tanzania Ndugu John Magufuli.
Lakini kwa sababu zilizo nje,hakuweza kufika.
Support yake ni kubwa sana kwenye sekta hii ya kilimo,hasa korosho katika kuiongezea thamani na kukuza ajira huku wakulima wakinufaika zaidi kwa jasho lake
Kuanzia hapa ndio mkutano ulipo haribikia mana hakuna mwenye kutoa maamuzi hapa.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Kuanzia hapa ndio mkutano ulipo haribikia mana hakuna mwenye kutoa maamuzi hapa.
Hapo ni kuwapatia fursa zinazopatika ktk korosho. Yupo bwana Geofrey Mwambe atayabeba yote.
Lakini wakuu wa mikoa ni assurance kubwa sana ktk kufuatilia. Maana kila mtu naona ana ambition kubwa ya kuwa na viwanda ktk maeneo yao.
Hakiharibika kitu.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,812
2,000
Habari watu wa Mungu.

Karubuni kwenye forum hii inayofanyika mtwara trh 12-13 Julai 2019.
Venue; BOT Mtwara.
Wageni wa kiserikali
Wakuu wa mikoa Lindi,Mtwara,Ruvuma na pwani.
Mkurugenzi TIC Ndugu Mwambe.
Mwenyekiti wa bodi ya TIC prof. Longinus
Mzee Shamte wa TPSF..
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,754
2,000
Yaani tangia Jiwe kuu amfukuze kazi yule mama Juliet Kairuki aliyekuwa huyu TIC kwa kutokupokea mshahara wake basi tena TIC imekuwa ya kipumbavu na kijinga.

Hakuna weledi, ushawishi, mbinu n.k hapo mmeitana mlipane posho kisha kina Mwambe watoe risala ndefu mwisho kila mtu aende nyumbani end of story
 
Tumbili

Member
Oct 4, 2011
52
125
Kikao cha ovyo kabisa..., yaani tokea rais alivyoacha kuhudhuria kikao kimeharibikia hapo. Kumbuka korosho imeharibika baada ya maamuzi ya kiasi yaliyofanyika last year..., na mfanyaji mkubwa wa maamuzi hayo alikuwa ni rais. Hivyo uwezo wake leo ulikuwa nikitu cha msingi mno. Hapa watu wametoka nchi za mbali kuja kumsikiliza lkn hakutokea.....,watu na wageni wengi tuko very disappointed na utaona kama kikao kinachoendelea kesho kitakuwa na watu.... Why does Mr. President didn't came?..., why???. Yaani tokea hapo kikao kimechacha...., ni sawa na kutia nazi kwenye supu.
 
Nakubaliana, uwepo wa rais siku zote ni muhimu popote anapokuwepo, lakini hii haizuii wawekezaji kufaham mazingira ya biashara ya korosho kama nchi tunataka yawe ya namna gani.

Sera zetu zipo wazi katika utekelezaji pia,viongozi wa wizara wapo pia.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,931
2,000
https://www.jamiiforums.com › rais-...
Rais Magufuli kuongoza kongamano la korosho, mkoani Mtwara ...

19 Jun 2019 ·
Tanzania Cashew Nuts Investment Forum 12- 13, July ... at the Bank of Tanzania Conference Hall in Mtwara Branch,
Mdau Beth,
Mkutano huo unakuja wakati tayari Rais Magufuli ameshaengua mawaziri watatu tangu Novemba 2018 wote wakitajwa kushindwa kusimamia biashara ya korosho mbali na sababu nyingine.

Mawaziri walioondolewa kwenye nyadhifa zao ni pamoja na Charles Mwijage na Joseph Kakunda (waliokuwa Viwanda na Biashara) na Dk Charles Tizeba aliyekuwa Waziri wa Kilimo.

Tangazo lililotolewa na Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), leo Juni 19, 2019, limesema lengo la kongamano hilo ni kuwavutia wawekezaji wa nje na wa ndani ili waanzishe miradi na viwanda vya kusindika hasa katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

“Tanzania ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa korosho ghafi duniani, kwa msimu wa 2017/18 ilizalisha tani za ujazo 313,826, lakini asilimia 90 za korosho hizo huuzwa nje ya nchi zikiwa ghafi kutokana na uwezo mdogo wa ubanguaji,” limesema tangazo hilo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom