Nilipigwa Bunne kwa kuonewa

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Habari JF isee Hawa mods walichonifanya ni unyama mtupu kwakweli yani walipiga kufuli kwa kauli hii (we Musiba tuliza makende chini) na huyo aliyekuwa anatoa kauli chafu wakamwacha wiki mbili sio mchezo nikaamua kufungua kwa I'd mpya cha kusikitisha haijawa approved hadi leo iko pending
 
Na Kwa kurudia kauli, BAN nyingine itafuata
 
Habari JF isee Hawa mods walichonifanya ni unyama mtupu kwakweli yani walipiga kufuli kwa kauli hii (we Musiba tuliza makende chini) na huyo aliyekuwa anatoa kauli chafu wakamwacha wiki mbili sio mchezo nikaamua kufungua kwa I'd mpya cha kusikitisha haijawa approved hadi leo iko pending
Bunne ni swag au nini mzee kulabure ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom