Falsafa ya kusoma picha na mzee Lowassa

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Wakati Tunampongeza Mzee Lowassa kwa kupata Mkwe pia tutumie nafasi hiyo kutafakari hadi wale wenye ujuzi wa kusoma picha
9b550f7c-29e7-4255-b4af-d9cea5bebb51.jpg
 
Huwa kuna muda nafikiri thinking capacity na reasoning capability of most Tanzanians iko low sana, kuna vitu sio vya kufanyia mzaha kabisa. Najiuliza how would you feel if the person whom you're joking about this instant is a relative or a family member to you!?

Wakati mwingine Hekima na Busara ni kitu cha bure kabisa, na Mungu katupa akili ya kuzaliwa ambayo hata mtu ambaye hajaenda shule anaweza itumia ipasavyo..

Shame on you
 
Hapo kwenye hiyo meza kuu, wako vigogo wawili tuu, kuna Chupa MBili za vinywaji vikali, moja inaonyesha iko tupu na ya pili wameshateremsha robo. Tena inaonyesha huyo Muislamu mchwara ndiye bado yuko bado yuko fit, sijui kameza kipande cha siagi, ama kala halua au Mirungi/
 
Mkuu nakubaliana na ww asilimia mia. Mtu anashindwa kuelewa kuwa picha inacapture a moment in a second, mtu anaweza akawa amefumba macho akapigwa picha then atakayetazama hiyo picha akafikiri huyo mtu alikuwa amelala kitu ambacho in reality hakikuwa hivyo.

Kuna mambo mengi mazuri na ya muhimu ambayo yana impact ktk maisha ambayo yanapasa kuchukua muda wa mtu akiyatafakari au kuyafanyia kazi sasa sijui inakuwaje hadi mtu anajishughulisha na issues kama hizi.
 
Hapo kwenye hiyo meza kuu, wako vigogo wawili tuu, kuna Chupa MBili za vinywaji vikali, moja inaonyesha iko tupu na ya pili wameshateremsha robo. Tena inaonyesha huyo Muislamu mchwara ndiye bado yuko bado yuko fit, sijui kameza kipande cha siagi, ama kala halua au Mirungi/
Mkononi hujaona kashika nini huyo azizi
 
Hapo kwenye hiyo meza kuu, wako vigogo wawili tuu, kuna Chupa MBili za vinywaji vikali, moja inaonyesha iko tupu na ya pili wameshateremsha robo. Tena inaonyesha huyo Muislamu mchwara ndiye bado yuko bado yuko fit, sijui kameza kipande cha siagi, ama kala halua au Mirungi/
Muislamu uchwara.??
Aisee
 
Kuna picha alipiga mmbea wa taifa akiwa na mjamaa aliyeficha sura huku mkononi kashika kijiti kipana kama hicho pichani

Rangi na wajihi kama vinakutana vile
 
Kwani umeona kuna shida gani kwny hio picha mkuu?

Back
Top Bottom