Kutalii Dodoma-what is special there

Kutalii Dodoma-what is special there

Kizito Dickson

Senior Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
174
Reaction score
209
Habari wadau,

Nataka kwenda kutalii jiji la DODOMA aka MAKAO MAKUU

Mwenye taarifa za msingi kuhusu DOM kama vile malazi,burudani,vivutio,gharama za maisha na mengineyo anijulishe

Asante
 
Bunge, nyerere square, na majengo ya UDOM.
Mwenyeji wangu alinitembezaga hayo maeneo na usiku nikaenda kula kuku Chako ni chako biashara ikaishia hapo.
 
Bunge, nyerere square, na majengo ya UDOM.
Mwenyeji wangu alinitembezaga hayo maeneo na usiku nikaenda kula kuku Chako ni chako biashara ikaishia hapo.
Hiyo si ni siku mbili zinaisha?Vipi kuhusu accommodation?
 
Kutaliii mhhh..sijui hata nikushaurije

Labda ngoja ngoja Mukulu anaweza leta mbuga hapo pia
 
Habari wadau,

Nataka kwenda kutalii jiji la DODOMA aka MAKAO MAKUU

Mwenye taarifa za msingi kuhusu DOM kama vile malazi,burudani,vivutio,gharama za maisha na mengineyo anijulishe

Asante
Kondoa iko dodoma,fika na huko mkuu
 
Jiandae na jipange kukumbana na ombaomba wa kutosha, kama wananusa vile kujua huyu ni mgeni maana katu sikuwahi ona wakiomba omba kwa wenyeji bali kwa wageni tu
 
If your blood is still boiling, Dodoma is a best place to be I tell you! There is lots of chicken meat, cow's meat, goat's meat... And lots more, lots of 'chick's' meat there... Ukienda Dom ukarudi na njaa, basi ujue we ni Domo zege. Na watoto wa Dom huwa hawana tamaa na pesa kama hawa wa Darisalama!
 
Uliliwa pia na wewe baada ya kila kuku.
Bunge, nyerere square, na majengo ya UDOM.
Mwenyeji wangu alinitembezaga hayo maeneo na usiku nikaenda kula kuku Chako ni chako biashara ikaishia hapo.
 
Back
Top Bottom