kula Mchwa, Panzi, Nondo wa hariri na Wadudu wengine

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Tafiti mpya iliyofanywa na Wanasayansi kutoka katika Chuo Kikuu cha Rome cha nchini Italy imebaini kwamba kula Mchwa, Panzi, Nondo wa hariri na Wadudu wengine kunaweza kumsaidia Mtu kujikinga maradhi ya Kansa.#MillardAyoUPDATES

hero.jpg
 
Hizo tafiti zingekuwa zimeegemea kwenye nguvu za kiume fursa ya biashara ya mende ingeonekana hasa hapa nchini.
 
Ukitoa mambo ya Brain wash hivi ndo vyakula vilivyo liwa na Mababu zetu.

Haya mahindi au Mchele au Viazi tunao viona leo hii vimeletwa na Wakoloni hasa Wamisionary.

Kabla ya hapo wadudu, matunda poli na nyama ndo ilikuwa vyakula vua Babu zetu.

Kuna mataifa hata baafa ya kutawaliwa wao hawakuachana na vyakula vya sili vyao

Huku mtu akinywa soda au kula keki ndo huwa anajiona very advanced.
 
Back
Top Bottom