MADAI MAZITO:musiba siyo jina lake halisi,alijaribu kumrithi mjane wa kaka yake kwa nguvu,wakampora mali

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,122
2,000
Jamaa haitwi Cyprian musiba,anaitwa MAAGI MULAGA ,jamaa huyu ni kilaza wa kutukuka kwani primary school alifeli mara tatu kipindi hicho anakaa Tabora nyumbani kwa marehemu kaka yake aliyekuwa Inspector wa polisi aitwaye Inspekta Masesa
Inspekta Masesa alifariki kwa ajali na hapo ikatokea mzozo wa ndugu kutaka kumrithi mke wa marehemu aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi magereza ya tabora aitwaye mwalimu Masesa
Ugomvi ulikuwa mkuwa katika ya Maagi(musiba) na kaka yao mkubwa aitwaye Mbukwinyo Mulaga wote wakiwa wanataka kumrithi mwanamama huyo ambaye alikataa kukubaliana na mila hizo za kipuuzi
Kitendo hicho kiliwakera vijana hao na wakaamua kuchukua kila kitu cha shemeji yao na kumuacha akiwa anahifadhiwa na wasamaria wema,mama huyo keshastaafu na karudi kijijini bunda huwa anasikia kichefuchefu sana akisikia hilo jina tena anashangaa eti watu wanamuita Cyrian Musiba.

musiba.jpg
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
11,639
2,000
Musiba yupo tayari kudhalilisha utu wake ili tamaa zake zitimizwe. Kwa kuoenda vya bure ameamua kutukana watu ili tumbo lake lishibe na kabla ya hapo kwa kupenda vya bwerere akataka kurithi mjane wa ndugu yake ili ale bure. Huyu jamaa ni tatizo kwa jamii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom