Ushaur tafadhali..muhimu sana

Ushaur tafadhali..muhimu sana

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,065
Wakuu za jion,.kuna kahela fulan nmekapata sasa nina waza kufanya biashara ya ku export bidhaa nje ya nchi naona ni biashara fulan nzur kama ukiset miundombinu yote..na hiv serikal inatoa previllage nying kwenye kilimo naona ndo muda wake huu..

Nawaza ku export mazao yafuatayo
1.vitunguu either saumu au red onions
2.tangawizi

Vingine sina,yaan sjajua,..ila nazingatia sana uhifadh wake usiwe gharama sana na hata packaging yake isiwe gharama sana ,pia yasiwe mazao yanayoharibika mda mfup
Nawaza nipeleke soko la far east na asia au hata comoro or hata nchi za jiran kama kuna hzo demand

So nachoomba kama mtu ana in and outs ya vitu hiv,au ushaur au vyovyote,au hata sugestion ya zao lingine anisaidie mawazo

Ndo kusaidiana kwenyew huku wakuu,nipo chin ya miguu yenu..usisome nakuacha,ongea lolote

Uzi tayar
 
Back
Top Bottom