Mbeya: Mbaroni kwa kukutwa na laini 141 za simu

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,283
2,000
Polisi mkoani humo inamshikilia mtu mmoja, Ally Mwakila (32), Mkazi wa Mwambene kwa tuhuma za kupatikana na laini za simu 141 zenye usajili wa majina ya Watu wengine

Mtuhumiwa ambaye pia ni fundi Umeme alikamatwa mnamo Julai 12, 2019 majira ya saa 7 mchana katika Mtaa wa Itongo, Kata ya Mwambete, Tarafa ya Iyunga na baada ya kuhojiwa alikiri kumiliki laini hizo

Alikutwa na laini za Halotel 13, laini za Tigo 29, laini moja ya TTCL, laini 78 za VodaCom na laini 20 za Airtel, pia alikutwa na vocha zilizotumika 5 za VodaCom, 4 za Tigo, 48 za Airtel na 3 za Halotel pamoja na simu Itel (3), Oking (1) na Hotwave (1)

Mtuhumiwa alikuwa na vitu hivyo ili kujipatia kipato kwa udanganyifu na atafikishwa Mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika
 
kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500

Wamchunguze isije ikawa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'..
 
Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Jun 28, 2018
598
1,000
Mkuu unaujasiri mkubwa sana kumjibu maneno hayo.

angeweza kukushtaki kwa kumtukana, huoni kama ingekula kwako?
Mi kuna mmoja nae hivohivo..''Tuma hela kwenye namba hii jina italeta fulani''
Siku hiyo nilikuwa na hasira nikamjibu'' Naenda kuiingiza kwenye kyuma la mama ako utaenda kuitolea huko''
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom