Ubatizo wa moto... When karma is backfired

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,781
.

Je tunaweza kuwa na tafakuri ya yajayo ama kuweka hakiba ya maneno?
Tunaposimama kwenye majukwaa ya siasa na kupayuka ili kufurahisha genge... Kumbuka kuna waandika kumbukumbu wasiochoka, wasioacha hata

.
IMG-20190715-WA0204.jpeg
 
.
View attachment 1154425
Je tunaweza kuwa na tafakuri ya yajayo ama kuweka hakiba ya maneno?
Tunaposimama kwenye majukwaa ya siasa na kupayuka ili kufurahisha genge... Kumbuka kuna waandika kumbukumbu wasiochoka, wasioacha hata

Malipo ni hapa hapa
 
Wacha nao wacheze singeli kidogo
Walikuwa wanaona yanayotendeka wakakaa kimya leo muziki umekolea.
Sina huruma nao wapambane na hali zao
Walimfuga mbwa amewafuata mpaka msikitini damnit!
 
Huwezi kuinyoosha nchi bila kuwanyoosha waliotufikisha hapa.
Kunyooshana hakuna vyama.
 
Back
Top Bottom