N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,987
- 9,956
Miaka ya 1997 kurudi nyuma Mlima Kawetere uliopo pembezoni mwa jiji la Mbeya ulikuwa umefunikwa na miti ya kupandwa 'pine forest' lakini hivi sasa safu hii ya milima imesalia haina uoto kabisa...ni sehemu ndogo ndio imepandwa miti.
Natoa wito Mali Asili Mbeya pandeni miti kwa upya kwenye safu hizi ili kunusuru mazingira na kuboresha hali ya hewa ya jiji la Mbeya. Please reforest Kawetere hill wholly not in part.
By Kajunjumele via N'yadikwa
Sent using Jamii Forums mobile app