Kwanini Ikulu hupendelea kutumia magari meusi ?

Kwanini Ikulu hupendelea kutumia magari meusi ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wakuu.

Nimekuwa nikifuatilia magari ya Ikulu kadhaa nchi nyingi yanakuwaga na rangi nyeusi.

Ni mara chache sana Ikulu kutumia magari meupe nk.

Ni protocally au ni accidentally tu ?
 
Kalibu ugali nyama.......swali lako lina A na B...?
 
Hata wewe ukiweka madirisha aluminum vioo vyeusi nyumba yako itapendeza zaidi
 
Hayati Baba wa Taifa na Mzee Ruksa walikuwa wakitumia Mercedes Benz Nyeupe

Ilikuwa wakija na ugeni wa Rais wa Nje lazima wapite njia ya Uhuru wanapungia watu mikono

Siku hizi ni full speed, tinted, gari nyeusi mwendo si mchezo
 
Kongole kwako, muuliza swali.Mnaojua leteni jibu tufaidike wote
 
Back
Top Bottom