Kwanini Wanaogushi Taarifa za Ikulu Hawakamatwi?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,792
71,198
FB_IMG_1521959228764.jpeg

Taarifa hiyo hapo juu na zingine nyingi zimekuwa zikikanushwa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuwa zimegushiwa.
Kugushi taarifa kuwa imetoka Ikulu ni jambo la hatari sana, lakini inakuwaje hao haeashikwi wala dalili za kutafutwa lakini wanao andika yasiyo na maana mitandaoni nguvu kubwa sana inatumika kuwakamata?
Nini sababu hasa ya kulidharau hili?
 
Mkuu Chakaza utaumiza kichwa bure hii ni awamu ya maigizo, jana walikuwa wanatest umma utasema nini siku wakizima ki ukweli kweli. Hujiulizi sinema ya kujiteka Nondo, maigizo ya kukamatwa wanaohamasisha maandamano, sinema ya polisi waliovishwa magwanda ya JWTZ nk nk yote haya lengo ni moja "kutisha" basi.
 
Mkuu sasa wamekosa hata wataalamu wazuri wakuchakachua mambo?
Unajua inatisha kuona serikali inafanya mambo kijinga kiasi hiki! Jee hata tunapokabiliana na siasa,ujasusi na mapambano ya kiuchumi huko nje bado tunawatumia hawahawa mbumbumbu?
 
Hawa jamaa huwa wanatoa habari kupimaa upepoo... Sasa wananchi washavurugwa hasaaa
 
Natamani malaika watelemke chini na kuzima mitandao ya kijamii
Nikifa nitateuliwa na Mungu kuwa malaika mkuu
Asiyefanya kazi na asile, na asipokula afe, msema Kweli ni mpenzi wa Mungu
Mafisadi wote nitalala nao mbele
Atakayeleta fyokofyoko atakiona cha mtemakuni
Fyatueni watoto wengi maana elimu ni bure
Hizo ni baadhi ya kauli zake huyo mropokaji wenu

Hizo kauli jamani hazitoshi kwa madaktari wetu kutoa diagnosis, investigations na matibabu, njooni kwangu niwape majibu
 
Mkuu sasa wamekosa hata wataalamu wazuri wakuchakachua mambo?
Unajua inatisha kuona serikali inafanya mambo kijinga kiasi hiki! Jee hata tunapokabiliana na siasa,ujasusi na mapambano ya kiuchumi huko nje bado tunawatumia hawahawa mbumbumbu?
Washauri ni wale wale walioshauri tununue ndege kwa keshi.
 
View attachment 724562
Taarifa hiyo hapo juu na zingine nyingi zimekuwa zikikanushwa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuwa zimegushiwa.
Kugushi taarifa kuwa imetoka Ikulu ni jambo la hatari sana, lakini inakuwaje hao haeashikwi wala dalili za kutafutwa lakini wanao andika yasiyo na maana mitandaoni nguvu kubwa sana inatumika kuwakamata?
Nini sababu hasa ya kulidharau hili?
Uwe unaelewa mkuu.Ni wao walikuwa wana test mitambo!
 
Natamani malaika watelemke chini na kuzima mitandao ya kijamii
Nikifa nitateuliwa na Mungu kuwa malaika mkuu
Asiyefanya kazi na asile, na asipokula afe, msema Kweli ni mpenzi wa Mungu
Mafisadi wote nitalala nao mbele
Atakayeleta fyokofyoko atakiona cha mtemakuni
Fyatueni watoto wengi maana elimu ni bure
Hizo ni baadhi ya kauli zake huyo mropokaji wenu

Hizo kauli jamani hazitoshi kwa madaktari wetu kutoa diagnosis, investigations na matibabu, njooni kwangu niwape majibu

Umesahau sukari ilikua 5000 nimekua Rais sukari imeshuka bei 2500
 
View attachment 724562
Taarifa hiyo hapo juu na zingine nyingi zimekuwa zikikanushwa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuwa zimegushiwa.
Kugushi taarifa kuwa imetoka Ikulu ni jambo la hatari sana, lakini inakuwaje hao haeashikwi wala dalili za kutafutwa lakini wanao andika yasiyo na maana mitandaoni nguvu kubwa sana inatumika kuwakamata?
Nini sababu hasa ya kulidharau hili?
Una hakika wanaokamatwa huwa wanaandika asiyo na maana?
 
Kuepuka Kupandikiza Chuki dhidi ya Wananchi maana ile ni Ofisi ya Rais, Rais huchaguliwa na Wananchi!
 
Back
Top Bottom