Msaada wa mawasiliano au ofisi za Westpoint Dar es Salaam

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Habari za Mapinduzi ya Zanzibar Waungwana!

Mie na laazizi wangu hatujambo na tunapambana na kilimo maana huu ndio msimu wenyewe.
Nimeharibikiwa na kifaa changu cha Westpoint hivyo nakuomba msaada wa mawasiliano au unielekeze sehemu zilipo ofisi za Westpoint ili nikatengenezeshe kifaa changu.

Asante sana kwa ushirikiano wako.

msaada wenu waungwaNA
 
kuna dealer wao mkubwa barabara ya saza road chang'ombe karibu na Twiga chemical jaribu kuulizia.
 
asante sana maaana naishi moro nitajaribu kufunga safari kama namba sitoweza pata
 
Westpoint wapo kamata gerezani zilipo ofisi za tigo, ukitoka mataa pale kamata kama waenda mnazi, ukivuka reli pale kituoni mkono wakushoto.

Ukiweza nikumbushe j3 nitakupa mawasiliano yao, ila nina hakika wana page yao kwenye social media try it
 
Back
Top Bottom