Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,286
Reaction score
1,854
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
 
kama unapata vingi kupitia ukarimu endelea ukiwafata hao hawatakupa hata vichache zaidi watakucheka ukivikosa ivo vingi. .

mie niliwahi omba kazi flani ya kibwege kijiweni wakanizodoa, kumbe ina malupulupu aseeh si ndo nikawa mfadhiri wao wanapo kwama baadae pambio likageuka kwamba nna akili sana nkajua hawa njaa tu hawana lolote.
 
hiyo kazi inachangamoto sana nakumbuka kuna kipindi nilikuwa namuoendesha CEO wa kampuni flan nilitokea kuchukiwa kweli kweli na kusemelewa maneno mabaya hata na baadhi ya maboss wengine sikukata tamaa nilikaa na Mungu tu ikafikia hatua hadi baadhi ya madriver wakaanza kwenda kwa babu ila Mungu ndio kila kitu mpk yule boss kijana alipomaliza muda wake akasepa.
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Piga kazi!
 
Kama hajaolewa niunganishe naye na mie nimfaidi mazalia asilia...
 
Mmh... Weka picha... Yasije yakawa yale ya Kinondonisweetheart
 
Safi sana komaa hivyo hivyo hayo ndo maadili ya dereva Bora, dereva Bora ofisi yake Ni gari na gari iwe Safi muda wote nilikuwa T.O miaka ile nili enjoy na vijana wangu job
Yule Dada namnunulia mpaka shampoo naenda sokoni wala sioni tabu naifurahia kazi yangu nimeweka manukato kwenye gari akasema "wee kaka hii perfume umenunua wapi". Akanituma nimnunulie kaipeleka kwake[emoji4]
 
Back
Top Bottom