Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 591
Mara nyingi Utakuta ww MTU wa kawaida hauruhusiwi kuingia ndani ya nyumba yenye msiba, OK fine unaweza sema wanaogopa kuibiwa, lkn hata nje ya nyumba, viongozi wa serikali, familia iliofiwa, na matajiri wana sehemu yao ya kukaa, yani wanajitenga na watu wasio na cheo wala utajiri sasa najiuliza kubaguana hadi msibani, hata buffee LA viongoz ni tofaut na watu wasio na cheo..
Binadamu wote tunanuka tu, kubaguana si ishu...
Binadamu wote tunanuka tu, kubaguana si ishu...