Tanzania kuiuzia Kenya mahindi ili kusaidia upungufu wa chakula

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Ni baada ya kupeana ndege tausi then turudishiwa dhahabu hapo Jana

Mlipiga kelele sana kuuza ,serkali ikafunga masikia na kusema tutauza unga sio mahandi ila ndio dipromasia ina nguvu siku hizi

Tani million 1

Maendeleo hayana vyama

======

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali itaiuzia nchi ya Kenya mahindi tani milioni moja katika kipindi cha mwaka mmoja, baada ya msimu wa mvua kugoma nchini humo hali inayotishia kuwepo kwa upungufu wa chakula.

Ameyasema hayo leo Julai 25, katika kikao kilichokutanisha idara zilizo chini yake na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo wa Kenya, Hamad Boga pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Amesema kuwa wamekubaliana kwa wiki ijayo watakutana na kufanya kikao kitakachozikutanisha idara zote za mapato na masuala ya viwango na ubora wa bidhaa kutoka nchi ya Kenya na Tanzania pamoja na sekta zote zinazohusika na mauzo ya chakula.

”Tumekubaliana na wenzetu kwamba mahitaji yao kwasasa ni Tani milioni moja, sasa hivi NFRA na Bodi ya mazao mchanganyiko wametuthibitishia kuwa wana uwezo wa kuhudumia hilo hitaji la tani milioni moja,”amesema Bashe

Aidha, hatua hiyo imekuja baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Kenya, Profesa Fred Segor, kusema mwaka huu wana changamoto ya hali ya hewa, kwa kuwa mvua haikunyesha ipasavyo.

Hata hivyo, Jana Julai 24, 2019, Rais John Magufuli katika mazungumzo yake na Rais Uhuru Kenyatta, alisema alipomtembelea nyumbani kwake Chato, alizungumzia hitaji la kununua mahindi kutoka Tanzania.
 
Kwa hiyo wamebadilisha gia angani baada ya kuingia kayanda wa nzega.

Tuwakumbushe ilikuwa ni kuuza unga na si maindi,over.
 
Mbona unaharaka hivo..ebu tulia uandike vizuri huu uzi wako..
 
bd4f608c5e35e6672998a5d9a0baf8e2

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali itaiuzia nchi ya Kenya mahindi tani milioni moja katika kipindi cha mwaka mmoja, baada ya msimu wa mvua kugoma nchini humo hali inayotishia kuwepo kwa upungufu wa chakula.

Ameyasema hayo leo Julai 25, katika kikao kilichokutanisha idara zilizo chini yake na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo wa Kenya, Hamad Boga pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Amesema kuwa wamekubaliana kwa wiki ijayo watakutana na kufanya kikao kitakachozikutanisha idara zote za mapato na masuala ya viwango na ubora wa bidhaa kutoka nchi ya Kenya na Tanzania pamoja na sekta zote zinazohusika na mauzo ya chakula.

”Tumekubaliana na wenzetu kwamba mahitaji yao kwasasa ni Tani milioni moja, sasa hivi NFRA na Bodi ya mazao mchanganyiko wametuthibitishia kuwa wana uwezo wa kuhudumia hilo hitaji la tani milioni moja,”amesema Bashe

Aidha, hatua hiyo imekuja baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Kenya, Profesa Fred Segor, kusema mwaka huu wana changamoto ya hali ya hewa, kwa kuwa mvua haikunyesha ipasavyo.

Hata hivyo, Jana Julai 24, 2019, Rais John Magufuli katika mazungumzo yake na Rais Uhuru Kenyatta, alisema alipomtembelea nyumbani kwake Chato, alizungumzia hitaji la kununua mahindi kutoka Tanzania.
 
Kusema kweli Rais wangu nakusifu na kukushukuru kwa maamuzi yako ya kuwachagua vijana wenye nguvu na nia ya kutaka kuleta mabadiliko ya nchi yetu kwenye cabinet yako.

Endelea hivyo hivyo Rais wetu tutavuka tu kwa busara zako na moyo wako wa uzalendo kwa nchi yako na upendo kwa wananchi wenzako.

Sina mengi kwa leo Rais wangu nilitaka tu kukushukuru na kukupa pongezi zangu hizo. Labda kwa kudokeza tu kuna talents nyingine hapa ambazo nazifuatilia bado.

Zi tupie tupie macho tu kwa mbali na kuwapa masikio yako kwa karibu. Zinaweza zikatusaidia kwenye baadhi ya mambo ya utendaji. Sisi wafusi wako tuko nyuma yako. Tuna kuunga mkono kwa hali na mali. Tunacho taka ni maendeleo ya jamii yetu.

Tusamehe sana Rais wetu kama unaona tuna kuingilia kwenye himaya yako. Lengo letu kama ambavyo nimekwisha sema, nafikiri ni moja tu, wewe mwenyewe unalijua, ni maendeleo yetu sote baba. Tunatamani na sisi tuwe kama wenzetu. Ninaona uchungu mkubwa tunaposhindwa kujikwamua. Kwa hiyo unajua mwenyewe sehemu ambazo wabunifu na watu machachali kama akina Bashe wanakosekana kwenye serikali yako. Zijaze hizo nafasi na watu wenye uthubutu kama wewe.

Hiyo Talent ni hii hapa;
 
Ni baada ya kupeana ndege tausi then turudishiwa dhahabu hapo Jana

Mlipiga kelele sana kuuza ,serkali ikafunga masikia na kusema tutauza unga sio mahandi ila ndio dipromasia ina nguvu siku hizi

Tani million 1

Maendeleo hayana vyama

======

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali itaiuzia nchi ya Kenya mahindi tani milioni moja katika kipindi cha mwaka mmoja, baada ya msimu wa mvua kugoma nchini humo hali inayotishia kuwepo kwa upungufu wa chakula.

Ameyasema hayo leo Julai 25, katika kikao kilichokutanisha idara zilizo chini yake na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo wa Kenya, Hamad Boga pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Amesema kuwa wamekubaliana kwa wiki ijayo watakutana na kufanya kikao kitakachozikutanisha idara zote za mapato na masuala ya viwango na ubora wa bidhaa kutoka nchi ya Kenya na Tanzania pamoja na sekta zote zinazohusika na mauzo ya chakula.

”Tumekubaliana na wenzetu kwamba mahitaji yao kwasasa ni Tani milioni moja, sasa hivi NFRA na Bodi ya mazao mchanganyiko wametuthibitishia kuwa wana uwezo wa kuhudumia hilo hitaji la tani milioni moja,”amesema Bashe

Aidha, hatua hiyo imekuja baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Kenya, Profesa Fred Segor, kusema mwaka huu wana changamoto ya hali ya hewa, kwa kuwa mvua haikunyesha ipasavyo.

Hata hivyo, Jana Julai 24, 2019, Rais John Magufuli katika mazungumzo yake na Rais Uhuru Kenyatta, alisema alipomtembelea nyumbani kwake Chato, alizungumzia hitaji la kununua mahindi kutoka Tanzania.
 
Kama mahindi huwa yanaozea maghalani huku Tanzania ni jambo la akili ya kawaida sana kuuza nje, ni jambo zuri sana, pia Kenya sio wajinga wanunue unga, sio wajinga kiasi hicho.
 
Inchi yetu ya Tanzania inaweza kukuza uchumi wake kwa kasi sana kama itatilia mkazo mkubwa katika kulima cha zao la Mahindi.
Kama mahindi yatalilmwa kama zao la Biashara kikanuni na sh eria, na mavuno kuwa makubwa kiasi cha kuweza kuuza Afrika ya Mashariki yote hadi Sudani na Ethopia, kiasi cha pesa tutakachoingiza ni zaidi ya mazao yote kama pamba, korosho, chai n.k.
Tatizo kubwa tulilonalo ni mgando wa akili wa kuendelea kuliweka zao la mahindi kama zao la chakula na kwa hiyo kutolipa kipao mbele katika kuliendeleza.
Wakati wa uongozi wa hayati Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa, kila mkoa ulikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka.
Maghala haya yaliuzwa karibu yote na hata baadhi ya vihenge vilivyojegwa Dar Es Saalam, Iringa na Arusha viliuzwa kwa watu Binafsi ambao wameyageuza maghala ya kuhifadhia mitumba ya nguo toka nje.
Vihenge navyo vinahifadhi ngano toka nje ya Inchi.
Tujiulize, ni kwa nini Kenya watuombe kununua Mahindi badala ya sisi kuwafuata na kuwataka kuja kununua mahindi yetu?
Sisi badala ya kulima zaidi na kuuza nje, tunapiga marufuku kusafirisha mahindi kwenda nje na kuwafanya wakulima kukosa soko la mazao yao au kupata bei ndogo.
Kilimo ni ajira kubwa sasa hivi Tanzania kwa hiyo zao la mahindi likiendelezwa watu wengi watapata ajira kwa kulima kwa wingi zao hili na kuuza Inchi za Nje.
Wastaafu wengi sasa hivi wanajishughulisha na Kilimo, lakini wanakata tama a kwa kukosa soko la mahindi au bei za mahindi kuwa za chini na kuwasababishia hasara.
 
Ni baada ya kupeana ndege tausi then turudishiwa dhahabu hapo Jana

Mlipiga kelele sana kuuza ,serkali ikafunga masikia na kusema tutauza unga sio mahandi ila ndio dipromasia ina nguvu siku hizi

Tani million 1

Maendeleo hayana vyama

======

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali itaiuzia nchi ya Kenya mahindi tani milioni moja katika kipindi cha mwaka mmoja, baada ya msimu wa mvua kugoma nchini humo hali inayotishia kuwepo kwa upungufu wa chakula.

Ameyasema hayo leo Julai 25, katika kikao kilichokutanisha idara zilizo chini yake na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo wa Kenya, Hamad Boga pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Amesema kuwa wamekubaliana kwa wiki ijayo watakutana na kufanya kikao kitakachozikutanisha idara zote za mapato na masuala ya viwango na ubora wa bidhaa kutoka nchi ya Kenya na Tanzania pamoja na sekta zote zinazohusika na mauzo ya chakula.

”Tumekubaliana na wenzetu kwamba mahitaji yao kwasasa ni Tani milioni moja, sasa hivi NFRA na Bodi ya mazao mchanganyiko wametuthibitishia kuwa wana uwezo wa kuhudumia hilo hitaji la tani milioni moja,”amesema Bashe

Aidha, hatua hiyo imekuja baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Kenya, Profesa Fred Segor, kusema mwaka huu wana changamoto ya hali ya hewa, kwa kuwa mvua haikunyesha ipasavyo.

Hata hivyo, Jana Julai 24, 2019, Rais John Magufuli katika mazungumzo yake na Rais Uhuru Kenyatta, alisema alipomtembelea nyumbani kwake Chato, alizungumzia hitaji la kununua mahindi kutoka Tanzania.
Huku wastaafu wananyimwa pension zao. Wafe njaa lakini chakula kiuziwe jirani! Serikali inawajali wanyonge wa nchi hii kweli?
 
Inchi yetu ya Tanzania inaweza kukuza uchumi wake kwa kasi sana kama itatilia mkazo mkubwa katika kulima cha zao la Mahindi.
Sikuelewa vizuri sana kauli ya Bashe kuwa wakenya watanunua mahindi moja kwa moja toka kwa wakulima, no intemediaries, nk
 
Inchi yetu ya Tanzania inaweza kukuza uchumi wake kwa kasi sana kama itatilia mkazo mkubwa katika kulima cha zao la Mahindi.
Kama mahindi yatalilmwa kama zao la Biashara kikanuni na sh eria, na mavuno kuwa makubwa kiasi cha kuweza kuuza Afrika ya Mashariki yote hadi Sudani na Ethopia, kiasi cha pesa tutakachoingiza ni zaidi ya mazao yote kama pamba, korosho, chai n.k.
Tatizo kubwa tulilonalo ni mgando wa akili wa kuendelea kuliweka zao la mahindi kama zao la chakula na kwa hiyo kutolipa kipao mbele katika kuliendeleza.
Wakati wa uongozi wa hayati Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa, kila mkoa ulikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka.
Maghala haya yaliuzwa karibu yote na hata baadhi ya vihenge vilivyojegwa Dar Es Saalam, Iringa na Arusha viliuzwa kwa watu Binafsi ambao wameyageuza maghala ya kuhifadhia mitumba ya nguo toka nje.
Vihenge navyo vinahifadhi ngano toka nje ya Inchi.
Tujiulize, ni kwa nini Kenya watuombe kununua Mahindi badala ya sisi kuwafuata na kuwataka kuja kununua mahindi yetu?
Sisi badala ya kulima zaidi na kuuza nje, tunapiga marufuku kusafirisha mahindi kwenda nje na kuwafanya wakulima kukosa soko la mazao yao au kupata bei ndogo.
Kilimo ni ajira kubwa sasa hivi Tanzania kwa hiyo zao la mahindi likiendelezwa watu wengi watapata ajira kwa kulima kwa wingi zao hili na kuuza Inchi za Nje.
Wastaafu wengi sasa hivi wanajishughulisha na Kilimo, lakini wanakata tama a kwa kukosa soko la mahindi au bei za mahindi kuwa za chini na kuwasababishia hasara.

Tumpe mda bashe: labda ataleta njia nzuri zaidi na watanzania kufaidika zaidi, though kuuza nje sio kama kwenda kuuza kariakoo, ata ukisema kila mtu auuze nje, matatizo ya border ni mengi unaweza kuta hujapata faida yoyote, if you didnt know, corruption ya kenya iskie tu kwenye taarifa za habari, ata serikali ikitoa ruksa hio unaweza kuta hujapata faida kwenye mauzo yako, tusubiri njia nzuri zaidi kama ztatokea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom