Biashara ya kutembeza magazeti naona imekufa

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,016
4,961
Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.
 
Kweli maendeleo na changamoto zake, nimekumbuka gazeti la RAI, badae ikaja RAIA MWEMA

Mzee upatikanaji wa tarifa za habari umekuwa mwepesi sana, uwepo wa smart phone majukwaa ya kijamii mitandaoni mfano face book Instagram, WhatsApp, twitter nk chanzo cha kushuka kwa uuzaji wa magazeti mitaani
 
Kweli mkuu
 
Nchi za wenzetu magazetu bado yanapatina na yasomwa kila leo, na mwenyewe ndo wana maendeleo ya utandawzi na utandawazi ulianzia kwao.
Sasa wandishi wanategemea habari kutoka mitandao ya kijamii ndio wakandike unategemea nini mfano mzuri kipindi mange kimambi ana deal na serikali yani story unaisoma kwa mange mchana kesho unaiona kwenye gazeti sasa hilo gazeti utanunua la nini ikiwa source ya tarifa hiyo unajua na umeisoma na muendelezo unajua the same tu magazeti ya udaku hivyo hivyo

Kwaiyo ukiwa ulaya magazeti bado sana soko na yapo basi uandishi wao na habari zao tofauti na hapa nyumbani
 
Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.
Hakuna anayesoma magazeti wala kusikiliza taarifa za habari
 
Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.
Ukinunua gazeti la leo means unataka kupata habari za Jana, labda yale magazeti ya Jioni kama ilivyokua Alasiri kipindi kile. Sasa unadhani habari za Jana si wengi tu wenye interest na habari walizipata Jana hiyo hiyo through other media and social networks.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom