Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,319
- 11,893
Hujambo ndugu msomaji.
Leo nataka unijibu hima!
Hivi nikwanini watu hawawi upande Wa makonda? Ipo hivi hata kutokee ugomvi kwenye daladala kati ya konda na abiria, watu wote watasimama upande Wa abiria bila kujali chanzo ninani. Hata ikiwa abiria ni mkorofi bado watu watamtetea tu. Sababu ni nini?