Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
218
Reaction score
195
Kuna jirani wangu kaibiwa milioni moja laki saba na kijana wake wa kazi, cha ajabu Polisi Buguruni wanamwambia aende Vodacom na Vodacom nao wanamwambia aende Polisi yupo njia panda hajui afanyaje.

Ana RB, BUG/RB/5131/2019 na kama yupo mtu anayeweza kumsadia amtafute atatoa chochote namba yake ya simu 0742862335 anaishi buguruni Dar es Salaam
 
Alikuwa anajua namba ya siri M-PESA cha ajabu aliyemuibia namba yake iko hewani na ajui yupo Dar kisha ondoka mkoani
 
Sijaelewa unahitaji msaada gani?
Ukitaja Vodacom kuna watu humu wanahitaji kutapika
 
Mwambie aende Central wana kitengo cha Cybercrime...mara moja watampata
 
Anayeweza amsadie maana anatia huruma na namba ya mhusika nimetoa hapo
 
Naona katika kila hali mnataka huu mtandao usiaminike tena
 
Back
Top Bottom