Tigo ndio nini mmetuletea??

kabatimpya

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
231
214
Salam senu kwa mpigo eti.
Ngoja niende kwenye hoja.
Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako??
Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki:
Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote.
Mimi binafsi NIMEWAHAMA.KWAHERINI
 
Aisee kwasasa makampuni ya simu ni vululu vululu kwa gharama sijui nini kimetokea
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Hayajakukuta ndio maana
 
Hongera yako mkuu ila mie nimewachoka
 
Mimi napata hivi si haba
FB_IMG_1563931470183.jpeg
 
Nenda airtel. Internet ya siku 3 ni 2GB kwa 1000 na dakika 120.
5000 dakika 250 ya kuongea mitandao yote wiki nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom