Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,777
- 11,650
Aisee huyu jamaa ni noma kwenye kutafsiri muvi kutokana na mbwembwe zake na kiswahili chake cha kikenya.
Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu.
Maneno anayopendelea;
Kugusa wororo-kusex
Bebenyaku-Nyegezi
Kimoda-mtu hatari
Kutoka unyoya-kukimbia
Kaparo-mpishi
Makagali-nyeti
Ongezea mengine.....
Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu.
Maneno anayopendelea;
Kugusa wororo-kusex
Bebenyaku-Nyegezi
Kimoda-mtu hatari
Kutoka unyoya-kukimbia
Kaparo-mpishi
Makagali-nyeti
Ongezea mengine.....