Azam TV yapewa leseni ya kurusha chaneli za ndani

Popcon

Member
Aug 12, 2018
28
12
images.jpg
images.jpg

Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure.

Pia, Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo, hivyo wananchi wanapaswa kuvuta subira.

Naibu waziri ametoa kauli hiyo akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Mlalo Mkoani Tanga (CCM), Rashid Shangazi aliyehoji Ni kwa nini Azam wananyimwa haki ya kuonyesha channel za ndani bure.

"Je, Serikali haioni kuwanyima haki hiyo wakati wengine wamepewa ni kukiuka ibara ya 18 ya katiba ambayo inatoa haki ya kupata habari, lakini hata Rais wetu anatumia Azam kurusha matangazo yake hivyo tungejitangaza hadi nje," ameuliza Shangazi.

Katika swali la msingi, Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula, aliuliza Serikali iwapo haioni kupitia TCRA kuwafungia local channels (chanel za ndani) baadhi ya ving'amuzi ikiwamo Azam TV, DSTV na vingine imewanyima wananchi fursa ya kupata habari..

Naibu waziri amesema Serikali inatambua umuhimu wa wananchi kujua mambo yanayoendelea, hivyo imetoa leseni zenye masharti tofauti.

Amesema kwa sasa matangazo ya umma yanarushwa na TBC1 na TBC3 maarufu safari channel.
Kwa mujibu wa Nditiye, kampuni zinazomiliki ving’amuzi vya DSTV, Zuku na Azam hayakustahiki kutoa huduma ya kubeba chaneli za ndani zisizolipiwa kutokana na masharti ya leseni zao.

Amesema Serikali imefanya jitihada ya kukaribisha maombi ya leseni ya kubeba maudhui ya chaneli za ndani kutoka kwa wanaohitaji kutoa huduma ikiwamo
 
View attachment 1097798View attachment 1097798

Rubbish, porojo tupu!
 
Nditiye amesema "katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo"
Hapa mbona kama kuna usanii tena, kwani mwanzo walivyokua wanaonyesha hizo channel kabla serikali kuwafungia walikua wanatumia mfumo gani mpaka sasa hivi watumie miezi 7 kujenga huo mfumo?
 
Japo heading yangu nimeandika kama nina more information kuhusu chaneli ambazo hazionekani, sio hivyo ila nimesikia baadhi ya wadau wakiteta kwa hiyo naomba ufafanuzi kwa anayejua kiundani zaidi please!
 
We umeziona kwenye king'amuzi chako?
 
View attachment 1097798View attachment 1097798

Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure.

Pia, Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo, hivyo wananchi wanapaswa kuvuta subira.

Naibu waziri ametoa kauli hiyo akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Mlalo Mkoani Tanga (CCM), Rashid Shangazi aliyehoji Ni kwa nini Azam wananyimwa haki ya kuonyesha channel za ndani bure.

"Je, Serikali haioni kuwanyima haki hiyo wakati wengine wamepewa ni kukiuka ibara ya 18 ya katiba ambayo inatoa haki ya kupata habari, lakini hata Rais wetu anatumia Azam kurusha matangazo yake hivyo tungejitangaza hadi nje," ameuliza Shangazi.

Katika swali la msingi, Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula, aliuliza Serikali iwapo haioni kupitia TCRA kuwafungia local channels (chanel za ndani) baadhi ya ving'amuzi ikiwamo Azam TV, DSTV na vingine imewanyima wananchi fursa ya kupata habari..

Naibu waziri amesema Serikali inatambua umuhimu wa wananchi kujua mambo yanayoendelea, hivyo imetoa leseni zenye masharti tofauti.

Amesema kwa sasa matangazo ya umma yanarushwa na TBC1 na TBC3 maarufu safari channel.
Kwa mujibu wa Nditiye, kampuni zinazomiliki ving’amuzi vya DSTV, Zuku na Azam hayakustahiki kutoa huduma ya kubeba chaneli za ndani zisizolipiwa kutokana na masharti ya leseni zao.

Amesema Serikali imefanya jitihada ya kukaribisha maombi ya leseni ya kubeba maudhui ya chaneli za ndani kutoka kwa wanaohitaji kutoa huduma ikiwamo
Kwa mujibu wao ukilipia ndipo zinaonekana kama mkataba wa Yuma!

Kweli maajabu yapo duniani. We jamaa mleta mada akili yako haina tofauti na ya bashite.

Mh!
 
Japo heading yangu nimeandika kama nina more information kuhusu chaneli ambazo hazionekani, sio hivyo ila nimesikia baadhi ya wadau wakiteta kwa hiyo naomba ufafanuzi kwa anayejua kiundani zaidi please!
Chanel za bure ni ITV eatv TBC 1 Chanel ten,startv .
 
Kwani hapo awali walikua wanatumia mifumo gani mapka sasa iaalazimu kujenga mingine? Au waliibomoa?
Wanatuchezea drama tuu haoa.
Iko hivu leseni ya kulipia kama dstv zuku azam, hutumi satellite tu hada leseni yake ni bei ndogo, leseni yenye local ni bei kubwa shart lazima ujenge mitambo ya ardhini ili wenye antenna wakupate kma star times kuna antenna na dish ndio sheria inataka azama kabadiri leseni iwe kama star times kwahio wakishajenga tu free Chanel tano za ndani
 
Back
Top Bottom