more88
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 447
- 413
kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi