Msaada wa kifaa cha kusoma matumizi ya umeme

Msaada wa kifaa cha kusoma matumizi ya umeme

taekwondo

Senior Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
131
Reaction score
244
Habarini wana JF.naamini tuwazima wa afya njema,niende kwenye mada husika;
Nipo kwenye nyumba ya kupanga,sasa ikifika suala la kulipa bill ya umeme kuna ma jiwe hao kila siku wenyewe pesa hawana.nahitaj mnisadie kama kuna kifaa cha umeme ambacho kitakuwa kinasoma units nitumiazo,na hata kama kitakuwa kina uwezo wa kufanya connection ya moja kwa moja kwangu ya umeme bila interruption kwa wengine.Anaefaham jina na upatikanaji wake naomba msaada wenu tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom