Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama alipita mwaka 2015 atapita na mwaka 2020 Mie ni muhehe najinyonga asipopita maamuzi magumu Jo ni jembe na mwamba wa taifa
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Karibu Mpambe mpya Kanali Bernad Mlunga na hongera Mpambe wa zamani Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy wa Rais Magufuli
13 Reactions
140 Replies
37K Views
Habri Wanabodi, Week iliyipita nilifika ofisi za bodi yamikopo kwa elimu ya juu kuangalia deni langi limefika kiasi gani nikakuta limefika milioni 11+ kutoka kutoka milioni 7+ wakati namaliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ajali ya ndege imetokea mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu wawili ambao ni rubani wa ndege hiyo na abiria wake. Watu hao ni raia wa Afrika Kusini na walikuwa wakielekea nchini Malawi...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Salama wakuu? Kuna mtu anahitaji clearing and forwarding agent mwenye uzoefu border ya Tanzania-Mozambique aweze ku clear mizigo yake pale Negomane. Au kama kuna mtu ambaye ana uzoefu na ile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watumishi wamekuwa wakilalamika miaka nenda rudi kuwa mishahara haitoshi. Mishahara ni kiduchu. Actually ni kweli. Cha ajabu hawaachi kazi , wanapata wanachokitaka mwezi mzima , wanakula na kuvaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumai ni wazima wa afya.........! kama mada inavyosomeka, imekaa mtindo wa swali. JE vijana tunatambua fursa zilizopo makanisani na msikitin na faida zake ? Nianze kwa kuelezea FAIDA za...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Kaka yake Mheshimiwa Freeman Mbowe Afariki huko Sala Sala (R.I.P General Mbowe) ===== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Mhe.Freeman Mbowe amefiwa na Kaka yake General...
21 Reactions
134 Replies
33K Views
Taasisi & Watumishi wa uma wasiofungamana (kisheria) na Chama Chochote cha Siasa (TZ) 1. Tanzania People's Defense Force 2. Tanzania Intelligence and Security Service 3. Immigration Service 4...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiona Umefika Umri Ambao Ukiona Unapata Pesa, Huwazi Kununua Jeans Wala T - shirt . Tambua Kua Upo Kwenye Kundi La WANAUME sio WAVULANA.
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa wamevumbua mbinu mpya ya kuomba pesa pale kwenye Lango kuu la kutokea airport (JNiA) mamlaka chukueni hatua tusiharibu taswira ya jiji/nchi.
5 Reactions
31 Replies
3K Views
IN TANZANIA, ABDUCTIONS AND DISAPPEARANCES OF GOVERNMENT CRITICS CONTINUE UNABATED Once again, we must bring unfortunate and regrettable news from Tanzania. We must, once more, ask the world to...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwandishi wetu, Manyara Siku chache baada ya Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya na mkuu wa mkoa huo kushutumiana kwa rushwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Ni kitambo kimepita tangu nimeajiriwa Kwenye kampuni moja la masuala ya printing. Mwezi wa kwanza kuajiriwa nililipwa mshahara na boss wangu mkono kwa mkono. Lakini kwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. Kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi...
3 Reactions
78 Replies
16K Views
Nashauri siku ya mikutano ya SADC kwa DAR na PWANI ingekuwa ni mapumziko kuondoa MIFOLENI na kuruhusu maving'ora yajipitie bila shida! mji utakuwa poa sana
0 Reactions
5 Replies
648 Views
Hello members, nimeahirisha masomo kwa semester ya mwisho kwa sababu za kifedha, naomba connection kwa shule yenye kufundisha masomo ya biashara na uchumi, nipo Moshi. Nimejaribu njia zote na...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Habari Nina shida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu.. Au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tanzania, imefanikiwa sana kwa kujiweka mbali na udini, (na hata ukabila) katika kufanya mambo yake,ingawa dini zote zinaheshimiwa sana. Kwa sasa, naanza kuona, kwa mbali udini unatuingia...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mtu anafahamu au ana taarifa ya taasisi, mtu, watu au kampuni yyote inayofadhili au kusaidia miradi ya kielimu. Nina project ya elimu inayotumia technology...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom